AMSHITAKI BABA YAKE KWA KUTOMJENGEA CHOO

Msichana wa miaka saba nchini India amemshitaki baba yake polisi baada ya kushindwa kutekeleza ahadi aliyomuahidi. Hanifa Zaara amewaambia polisi kuwa baba yake amekua akimdanganya na kuwataka akamatwe na kushtakiwa. Msichana huyo amesema ameamua kuchukua uamuzi huo baada ya baba yake kushindwa kutimiza ahadi ya kumjengea choo na kwamba amekuwa akiona aibu kwenda haja vichakani kwa kukosa choo. Hanifa ambaye anaishi na wazazi wake katika mji wa Ambur, jimboni Tamil Nadu, anasema hajawahi kuona choo nyumbani kwao huku katika mtaa anaoishi ni majirani wachache tu ndio wana vyoo majumbani mwao…

Facebook Comments

Read More

TRENI YA MWENDOKASI YAPINDUKA, BADO HAIJAFAHAMIKA WALIODHURIKA

Ajali iliyotokea katika eneo la Ankara imehusisha treni ya mwendokasi iliyokuwa inaelekea katika ya mji wa Konya baada ya kugonga kiberenge kilichokuwa kinafanya uchunguzi – Ajali hiyo imetokea katika kituo cha treni Wilayani Yenimahalle baada ya treni ya mwendokasi kushindwa kumimama, hata hivyo uchunguzi zaidi unaendelea kujua chanzo cha treni hiyo kushindwa kusimama – Gavana wa Ankara, Vasip Sahin amesema utaratibu za uokoaji bado zinaendelea lakini bado haijafahamika treni hiyo ilikuwa ikisafiri kwa mwendokasi gani – Mwezi Julai, watu 10 walifariki na zaidi ya 70 kujeruhiwa baada ya treni ya…

Facebook Comments

Read More

SABABU ZA ISCO KUSUSIA KITAMBAA CHA UNAHODHA HIZI HAPA.

Isco alikataa kitambaa cha unahodha wakutosha Marcelo anatolewa kwenda bechi katika mchezo ambao Real Madrid walishangazwa baada ya kucharazwa nyumbani na CSKA Moscow katika michuano ya Uefa champions ligi. “Sijawasiliana kwa nn Isco alikataa kitambaa cha Unahodha” maneno ya Marcelo. “Nilijaribu kunipatia kitambaa cha unahodha wakati naenda bechi kumpisha Carvajal lakini alikataa” Marcelo beki wa pembeni ambaye alishuhudia klabu yake ikipigwa goli 3-0, anasema badala ya kukubali kitambaa Isco akamwambia mvalishe Carvajal na hakujua sababu ilikuwa ni Nilijaribu.     Facebook Comments

Facebook Comments

Read More