HIKI NDIO SIRI NZITO KUHUSU MWENENDO MBOVU WA MANCHESTER UNITED.

Sio siri kwamba kwa sasa Mashetani Wekundu kwa sasa wanahaha kuingia katika Kinyang’anyiro cha kuingia katika vilabu vinavyopambania ubingwa kwa sasa pale England lakini kinachowakwamisha ni makundi uwepo wa makundi kambini na hilo ni kwa mujibu wa Tim Sherwood. Mpaka sasa United wameruhusu magoli 26 kwenye michezo 16 ya Premier League na pia wakikosa nafasi ya kumaliza vinara katika kundi lao kwenye michuano ya Uefa champions League baada ya kipigo cha goli 2-1 dhidi ya Valencia. Tim Sherwood ambaye ni kocha na mchezaji wa zamani wa Tottenham amesema United inawachezaji…

Facebook Comments

Read More

HIKI NDICHO KISA CHA KUMWAMBIA MWENYEKITI WA KLABU ANAOGOPA.

Taarifa zinaendelea kumuhusisha kocha wa Tottenham kujiunga na vilabu vya Manchester United na Real Madrid. Maurcio Pochettino alikuwa katika hali nzuri wakati akizungumzia mustakabali wake katika klabu ya Tottenham siku ya Alhamis na kumtania mwenyekiti wa klabu Daniel Levy akimwambia “anaogopa”, kwamba ataondoka. Pochettino ameisaidia sana Spurs ikifanikiwa kwenda 16 bora michuano ya Klabu bingwa Barani Ulaya na mpaka sasa klabu ikishika nafasi ya tatu kwenye Premier League. Manchester United na Real Madrid inasemekana waliingia katika vita ya kumuwania Pochettino lakini kocha huyo mwenye miaka 46 alisaini mkataba wa muda…

Facebook Comments

Read More