HAIJALISHI ANAKIWANGO KIZURI NAMNA GANI KWA HILI RONALDO ATAKAA NJEE TU.

Christiano Ronaldo tayari ameyazoea maisha ya Juve Mapema sana tangu ajiunge na klabu hiyo akitokea Spain lakini kocha Massimiliano Allegri anajipanga kumpa mapumziko Nyota huyo mwenye umri wa miaka 33. Kocha wa Juventus, Allegri amemwelezea Christiano Ronaldo kama “mchezaji hatari” lakini amepanga kumpumzisha Nyota huyo aliyeifungia Juve goli pekee la ushindi dhidi ya Torino Jumamosi. Ronaldo aliibuka shujaa katika Dabi  hiyo ya Turin (Derby della Mole) ambapo mshindi huyo mara 5 wa Ballon d’Or aliifungia Juve goli la 5000 kwenye Serie A katika ushindi huo wa ugenini. Kwenye dakika ya…

Facebook Comments

Read More