UNITED RASMI MIKONONI MWA PILATO NEYMAR JR.

Hafla ya upangaji wa draw ya michuano ya Uefa champions League hatua ya 16 imepangwa rasmi mchana wa leo pale mjini Nyoni nchini Switzland.  Katika Hafla hiyo ni kwamba kocha aliyeko kingaangoni hivi sasa Jose Mourihno amepangwa kukutana na mabingwa wa soka pale Ufaransa Psg. Mabingwa watetezi Real Madrid amepangwa kukwaana na vijana machachari kwa sasa Ajax toka pale Uholanzi Madrid wakiwa katika harakati za kutetea ubingwa wao. RATIBA KAMILI HATUA YA 16 BORA MICHUANO YA UEFA CHAMPIONS LEAGUE.  Facebook Comments

Facebook Comments

Read More

EDEN HAZARD AWEKA WAZI MSIMAMO WAKE PALE DARAJANI KWA SASA ITABIDI WAMUELEWE TU.

Nyota wa klabu ya Chelsea Eden Hazard amesisitiza kwamba kwa sasa analenga zaidi kuipatia klabu yake ushindi kuliko kufikia mafanikio binafsi. Mbeligiji huyo alimtengenezea Pedro goli kabla ya kufunga mwenyewe wakati Chelsea wakiicharaza Brighton 2-1 katika dimba la Amex siku ya Jumapili kwenye ligi kuu ya soka nchini England. Hazard kwa sasa amehusika katika magoli 17 ya ligi kwa kufunga na kutengeneza katika mechi 16 za ligi kuu msimu huu tofauti na alivyofanya msimu uliopita. Nyota huyo mwenye umri wa miaka 27 kwa sasa ana magoli 98 katika klabu ya…

Facebook Comments

Read More