UNITED RASMI MIKONONI MWA PILATO NEYMAR JR.

Hafla ya upangaji wa draw ya michuano ya Uefa champions League hatua ya 16 imepangwa rasmi mchana wa leo pale mjini Nyoni nchini Switzland. 

Katika Hafla hiyo ni kwamba kocha aliyeko kingaangoni hivi sasa Jose Mourihno amepangwa kukutana na mabingwa wa soka pale Ufaransa Psg.

Mabingwa watetezi Real Madrid amepangwa kukwaana na vijana machachari kwa sasa Ajax toka pale Uholanzi Madrid wakiwa katika harakati za kutetea ubingwa wao.

RATIBA KAMILI HATUA YA 16 BORA MICHUANO YA UEFA CHAMPIONS LEAGUE. 

Related posts