TAARIFA YA UNITED BAADA YA KUTIMULIWA KWA MOURIHNO HII HAPA.

Rasmi kocha wa Manchester United Jose Mourihno ameachana na klabu baada ya kuitumikia karibia misimu mitatu.

Jose Mourihno ameachana na Manchester United baada ya kufanya nao kazi kwa miaka miwili na nusu na hiyo ni kwa mujibu wa taarifa toka kwenye klabu iliyotoka Jumanne.

United wametoa taarifa hiyo fupi kwa vyombo vya habari baada ya takribani miaka 48 toka wachezee kichapo cha goli 3-1 toka kwa Liverpool siku ya Jumapili.

Mourihno sasa anaiacha United ikiwa nafasi ya 6 ikizidiwa alama 19 na kinara wa ligi wakiwa wameshacheza michezo 17.

Taarifa toka kwenye klabu imesomeka “klabu inashukuru kwa mchango wa Mourihno na kumtakia mafanikio mbeleni.

 

Related posts