WATAKAOCHAGULIWA AWAMU YA PILI KUZIBA NAFASI ZA WALIOCHAGULIWA AWAMU YA KWANZA KIDATO CHA KWANZA

MKUU WA MKOA WA MWANZA AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA PAMBA SECONDARY KUONA MWITIKIO WA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUINGIA KIDATO CHA KWANZA.

MAHUDHURIO YANASIKITISHA KATI YA WANAFUNZI ZAIDI YA 200 WALIOCHAGULIWA NI WANAFUNZI 30 TU WALIOJITOKEZA JANA SIKU YA KUFUNGUA SHULE.

ATOA MUDA KWA WAZAZI IFIKAPO FEB 1 2019 KWA MTOTO AMBAYE HAJAINGIA DARASANI NAFASI YAKE KUCHUKULIWA NA WANAFUNZI SECOND SELECTION.

Related posts