Hii Ndiyo Sababu Ya AMBER ROSE kuwa na Mahusiano na Wanaume MAARUFU.

KAMA utakuwa umefuatilia Mtiririko wa Mahusiano ambayo AMBER ROSE amekuwa nayo hasa kwa wanaume tofauti tofauti, Wengi wao ni Watu Maarufu, na huo ndio umekuwa utaratibu wake katika maisha yake ya kimahusiano.

Akifafanua Vizuri kuhusu sababu ya Yeye kufanya hivyo, Amber Rose ambaye ni mama wa Mtoto Mmoja, SEBASTIAN “THE BASH” aliyempata na aliyekuwa mumewe wa Ndoa, WIZ KHALIFA, ameweka wazi kuwa huwa anajiskia faraja sana na kuwa na uaminifu mkubwa pale ambapo anakuwa na mwanaume ambaye maarufu maana hahofii kuhusu suala la matumizi katika Nyumba yake.

Tofauti na hilo, Amber amedai kuwa, hakuna kitu huwa kinamuumiza akili sana kama kutafakari ni namna gani yeye na mwanaume wake wataishi katika mahusiano yao, na ndio maana huwa anajihusisha kimapenzi na mwanaume maarufu maana anajua “Kodi Ya Meza” lazima iwepo, Vitu vya ndani vitakuwa salama, na bado kutakuwa na uaminifu hasa katika mali zao.

Pia Amber ambaye awali alikuwa ni “Mcheza Utupu” katika Club (Stripper), amedai kuwa, wengi ambao sio maarufu hudiriki hata kuiba vitu vya thamani kwa wanawake zao, hivyo yeye hataki jambo hilo katika maisha yake, na ndio maana huwa na wanaume maarufu maana hawawezi kufanya hivyo, maana ni watafutaji ili kuulinda umaarufu wao, na hawana tabia za udokozi ili kuulinda umaarufu wao

#ChukuaHii

ORODHA YA WANAUME AMBAO AMBER ROSE AMESHATINDUANA NAO !!!

01- KANYE WEST

02-CHRIS BROWN

03-FABULOUS

04- NICK CANNON

05- LEBRON JAMES

06- EDDIE MURPHY

07- DRAKE

08- JAMES HARDEN

09- MACHINE GUN KELLY

10- ODELL BECKHAM JR

11- JOE BUDDEN

12- 21 SAVAGE 

Na Wengineo Kibao

Related posts