MEGHAN THEE STALLION Hakuamini Kama BEYONCE amefanya Remix ya “Savage”

RAPA wa Kike Kutokea Houston Nchini Marekani, Meghan Thee Stallion, amejikuta akidonodsha Machozi Mbele ya Wafuasi wake Zaidi ya Laki moja, baada ya kubainikuwa Beyonce amefanya Remix ya Wimbo wake unaoitwa “SAVAGE” Akizungumza kupitia Instagram account Yake, Meghan ambaye anatabiriwakuwa mmoja kati ya Wasanii wa Muziki wa HIP HOP kwa jinsia ya kike ambaye atafanya makubwa hapo baadae, alisema kuwa hapo awali alikuwa akimfuatilia Beyonce kipindi yupo pamoja na kundi la Destiny’s Child, na hapo ndipo alipokuwa akitamani siku moja kuwa na mafanikio makubwa kimuziki. Pia Meghan aliongeza kuwa, hata…

Read More