#Mnazingua: MEGHAN THEE STALLION Hajapenda hili kutoka kwa Wamiliki wa Instagram !!

KIUHALISIA Sio kila mtu huwa anapenda Mabadiliko ama maboresho ya aina tofauti katika “App” mbali mbali hasa za mitandao ya Kijamii. Lakini pia, sio kila mtu huwa anachukia maboresho ya “app” hizo za mitandao ya kijamii. Meghan Thee Stallion, ni mmoja kati Ya watu wachache ambao pengine hawajafurahishwa na mabadiliko mapya katika “account” yake ya Instagram na kuamua kuwapa “makavu” wamiliki na hata mafundi wanaoshughulikia mabadiliko katika mtandao huo. Rapa huyo wa kike ambaye hivi sasa anafanya Vema na mkwaju wa “Savage Remix” aliomshirikisha bibie Beyonce, amechukizwa haswa na mamboresho…

Read More

DJ KHALED: “Rihanna Aliponigusa Mara Ya Kwanza Begani, Nilihisi Kuchanganyikiwa”

SIO Mara ya Kwanza kusikia na Hata kuwaona Mastaa wakubwa Duniani kote wakikiri kuhisi “kupagawa” pale wanapoguswa ama kukutana na Mastaa wenzao ambao wamekuwa wakliwafuatilia mara kwa mara katika maisha yao. Hii Pia iliwahi kuthibitishwa na Rapa kutokea Nchini Marekani, Chance The Rapper, ambaye alijikuta akihisi kuchanganyikiwa baada ya Beyonce kumpa Busu wakati Rapper huyo akifanyiwa Mahojiano katika moja ya Tamasha Nchini Humo. Safari Hii, Dj Khaled amekiri wazi kuwa alihisi kurukwa na akili baada ya Rihanna kumgusa katika bega lake kwa mara ya kwanza, na hiyo ni kwa sababu…

Read More

FBI YAINGILIA KATI TUKIO LA MTU MWEUSI ALIYEUAWA NA ASKARI WA KIZUNGU KWA KUMKANDAMIZA NA GOTI SHINGONI.

Shirika la upelelezi la nchini Marekani la FBI limeanza kufanya chunguzi juu ya tukio la raia mweusi wa marekani ambaye ameuawa na polisi wenye asili ya kizungu kwa kumkandamiza kwa goti shingoni. Licha ya raia huyo George Lloyd kuwaomba askari hao wasimkanamize kwakuwa anashindwa kupumua bado askari waliendelea kumkandamiza hadi kifo chake mnamo 25 Mei 2020. Kupitia video inayowaonesha askari hao wakifanya kitendo hicho raia wa nchi tofauti wakiwemo wamarekani wenyewe wameonesha kutofurahishwa na kitendo hicho kiasi cha baadhi yao kuanza kurusha mawe katika magari ya polisi hasa katika eneo…

Read More