Ratiba Ya Mazishi Ya aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria Balozi Dkt. Augustine Mahiga

Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan, leo  Mei 2, 2020,  ataongoza mazishi ya aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt Augustine Mahiga, aliyefariki dunia jana. 


Dkt. Mahiga mwanadiplomasia mkongwe aliyeitumikia nchi kwa weledi, atazikwa alasiri Tosamaganga, Iringa.

Msemaji Mkuu wa Serikali.Dkt. Hassan Abbas ametoa taarifa hiyo.
“Akasema, Mimi nilitoka tumboni mwa mama yangu nili uchi, nami nitarudi tena huko uchi vilevile; Bwana alitoa, na Bwana ametwaa; jina la Bwana na libarikiwe”.  Amina. (Ayubu 1:21)

Related posts