JE VIPIMO VINAVYOTUMIKA KUPIMA CORONA TANZANIA HAVINA HITILAFU ????

Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa Afrika (CDC) kimesema kwamba vifaa vya kupimia virusi vya corona nchini Tanzania havina shida yeyote. Leo Alhamisi, Mkuu wa Afrika CDC amewaambia waandishi wa habari kuwa ofisi yake inavijua vilivyo vipimo hivyo. “Vipimo ambavyo Tanzania inatumia tunajua kwamba vinafanyakazi vizuri,” Dkt. John Nkengasong amesema hivyo katika mkutano na wanahabari wa njia ya mtandao. Kauli hiyo ya Mkuu wa Africa CDC, inapingana na kauli ya rais wa Tanzania ambaye alisema huenda vipimo hivyo vikawa na matatizo. Kituo hicho cha Africa CDC pamoja na wakfu wa…

Read More

#DreamComeTrue: “Ahsante Jay Dee Kwa Kutimiza Ndoto Yangu”- JANJARO

KUPITIA akaunti yake ya Instagram, Msanii Dogo Janja a.k.a Janjaro atakuwa ni miongoni mwa wasanii wachache ambao wametimiza ndoto zao kwa kufanya jambo na Mkongwe wa muziki wa kizazi Kipya Nchini Tanzania, Judith “Jay Dee” Wambura. Janjaro ambaye ameweka wazi kuwa hapo awali alikwa na Ndoto ya kumiliki Nyumba na Magari kama ilivyokuwa kwa Vijana wengine, hana budi kujivunia kuitimiza Ndoto yake ya kufanya Kazi na “Komando” ambaye n msanii wa Kike hapa Nchini mwenye heshima Kubwa Sana “Bahati mbaya sikubahatika kumaliza shule.. lakini nimekua ni mmoja wa vijana wanaotimiza…

Read More

JAGUAR : ” Utaratibu Wa Chakula Kila Wiki Bado Unaendelea” (PICHA)

MBUNGE wa Jimbo la Starehe Nchini Kenya, Charles Njagua Kanyi maarufu kama Jaguar, amesema kuwa utaratibu wa kutoa Chakula kwa Watu wasiojiweza katika Kipindi Hiki cha kujikinga na Maambukizi ya Virusi Vya Corona, bado unaendelea kama ulivyo katika maeneo mengine. Kupitia Ukurasa Wake wa Facebook, Jaguar ambaye ni msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya Nchini Kenya, aliandika kuwa utaratibu wa kugawa Chakula kila Wiki kw Wananchi wanaosumbuliwa na Magonjwa mbali mbali, Walemavu (PWDs) sambamba na Wazee wasiojiweza bado utaendelea mpaka pale Tatizo la Corona litakapopungua. Jaguar na Timu yake wamekuwa…

Read More

TRINA: “Kama Haujafikia Hadhi Yangu, Usithubutu Kunizungumzia”

KATIKA Wasanii wa kike Ulimwenguni ambao Miaka ya 2010 walikuwa ni Sehemu ya Gumzo katika Muziki wa Hip Hop, basi huwezi kuacha kumzungumzia Bibie Katrina Laverne Taylor Maarufu kama “Trina” ambaye alifanya vema sana na Track yake ya “Million Dollar Girl” aliokuwa amemshirikisha Keri Hilson na Diddy-Dirty Money Sasa, Trina ambaye kwa hivi sasa amejikita zaidi katika Vipindi vya Televisheni mbali mbali ikiwemo LoVE & HIP HOP MIAMI, ameamua kuwatlea “uvivu” watu wote hasa wasanii wa kike Nchini Marekani ambao wamekuwa “wakimchukulia Kinyonge” na kudiriki kumzungumzia kuwa hivi sasa hana…

Read More

RAISI JACOB ZUMA : WALIPANGA KUNIUA ,WAKAMUUA MWANANGU

Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma amesema kuwa kuna watu ambao waliandaa mpango wa kumuua kwa kumuwekea sumu ambayo badala yake ilimuua mwanaye mwaka 2018. Zuma anadai alikabiliwa na njama za kumuua mara kadhaa katika kipindi cha utawala wake wa miaka tisa, ambao uliangushwa kwa madai ya ufisadi . Mwanaye aitwaye Nhlakanipho Vusi Zuma alikuwa akusumbuliwa na ugonjwa wa lupus na alifariki akiwa na umri wa miaka 25 katika kifo kilichotokea Julai 1, 2018. Katika mazungumzo ya video ya dakika 45 na mtoto mwingine, Duduzane Zuma, rais huyo…

Read More

FACE BOOK KUFUTA MATANGAZO YA BARAKOA KWA WAUZAJI,YADAI NI UNYONYAJI

Wamiliki wa mtandao wa facebook wamepiga marufuku matangazo ya uuzaji wa barakoa (Mask) katika mtandao wakisema vitendo hivyo ni kutaka kujinufaisha kwa kutumia janga la maambukizi ya virusi vya Corona. Katika sera walioianzisha kuhusiana na kukabiliana na Covid-19 , tangazo lolote linahohusu biahara inayo husiana na mlipuko wa virusi vya Corona litajiondoa lenyewe bila kufutwa ( automatic) . “Chini ya sera yetu tumechukua hatua za kudhibiti unyonyaji wowote unaotaka kutumika na wafanyabiashara kutaka kujinufaisha ” taarifa hio imesema.

Read More

#ChukiNjeNje: Rapa 50 Cents Afafanua kuhusu “Bifu” lililopo Baina Yake na Mtoto wake Mkubwa !!

RAPA Jackson “50 Cents” Curtis ambaye pia ni Hit Maker wa Track ya “In Da Club”, amethibitisha namna ambavyo hampendi tena Mtoto wake Mkubwa, Marquise Jackson kama ilivyokuwa mwanzo. Akizungumza kupitia Instagram Live, 50 Cents amekiri kutokuwepo na maelewano mazuri na mtoto wake huyo kwa muda mrefu sasa, huku akitoa lawama kubwa kwa mzazi mwenzake ambaye ni mama mzazi wa Kijana wao kuwa yeye ndiye chanzo cha “sumu” kubwa iliyoko baina yao wawili. 50 Cents ambaye hivi majuzi ameachia kitabu chake chenye jina la “Hustle Harder, Hustle Smarter” amekiri kabisa…

Read More

BABA LEVO AAMUA KUMSHIRIKISHA MHESHIMIWA ZITTO KABWE KATIKA WIMBO

Leka Dutigite Ni Wimbo Ambao Uliimbwa Na Wasanii Wote Ambao Wanawakilisha Mkoa Wa Kigoma Huku Kazi Hiyo Ama Wimbo Huo Ukiwa Umesimamiwa Vyema Na Mheshimiwa Zitto Kabwe Mpaka Kukamilika Katika Upande Wa Sauti Na Video. Kwa Mara Nyingine Mheshimiwa Zitto Kabwe Amedhihirisha Kuwa Sanaa Ni Moja Ya Kitu Akipendacho Na Hii Ni Baada Ya Kukubali Kushiriki Katika Wimbo Wa Baba Levo Ambaye Pia Ni Diwani Wimbo Ambao Unahamasisha Wanachi Wa Tanzania Kuchukua Tahadhari Na Kujikinga Na Ugonjwa Wa Homa Ya Mapafu Maarufu Kwa Jina La Covid 19 Ambao Unasababishwa Na…

Read More