EMINEM: “Huwa Nina-Google Mashairi Yangu”

RAPA Eminem a.k.a Slim Shaddy ni mmoja kati ya Wasanii wakongwe na wenye Heshima kubwa sana katika Muziki wa HIP HOP Ulimwenguni kote, ni hiyo ni kwa sababu ya Ubora wa Nyimbo zake na mashairi yenye “Ubabe” wa kutosha katika Soko la Muziki. Lakini kama hukuwahi kufahamu, Eminem ni msanii ambaye anakiri kuwa ameshafanya Nyimbo nyingi sana mpaka huwa inamlazimu ku-google Mashairi yake ili asije akafanya makosa ya kurudia mashairi ambayo amekwisha wahi kuyaandika katika nyimbo zake zilizopita. Eminem ambaye kwa hivi sasa anasumbua na Kwaju la “Godzilla” ameongeza kuwa,…

Read More

#Corona : Salon Hazitofunguliwa Nchini Uingereza

KATIBU wa mambo ya Nje Nchini Uingereza, Dominic Raab amesema kuwa Salon zinazoshughulika na Masuala ya Urembo na Nywele hazitofunguliwa mpaka itakapofika Julai 04. Kauli hiyo imetolewa baada ya Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson kutamka kuwa kutakuwa na awamu takriban Tatu za kuanza kuruhus wananchi wake kuanza kurejea katika majukumu ya Kila siku na kupounguza makali ya “Karantini” Pia katika Hotuba yake, Waziri Mkuu aliagiza kuanza kuzirejesha Huduma mbali mbali mnamo mwezi Julai ambazo hufanyika Nchini humo ili kuepukana na changamoto mbali mbali za Kiuchumi kwa Wananchi wa Uingereza.…

Read More