STAMINA:NAMTAFUTA RICH MAVOKO SANA

Stamina Ni Moja Ya Msanii Kutoka Nchini Tanzania Ambaye Anafanya Vizuri Na Licha Tu Ya Kufanya Vizuri Ni Moja Ya Msanii Ambaye Anawakilisha Kundi La Rostam Akiwa Na Msanii Mwenzake Ambaye Ni Rafiki Yake Wa Karibu Maaufu Kwa Jina La Roma. Stamina Amezungumza Kupitia Kipindi Cha Hitzone Na Kuweka Wazi Kuhusu Moja Ya Wimbo Wake Uliomtambulisha Katika Tasnia Ya Muziki Kabwela Akiwa Amemshirikisha Rich Mavoko. Stamina Amesema Kuwa Anatamani Tena Kufanya Kazi Na Rich Mavoko Kwakuwa Alifanya Vizuri Sana Katika Wimbo Huo Lakini Pia Ni Mshikaji Wake Wa Muda Mrefu…

Read More

#KumekuchaMitandaoni: Hivi Ndivyo Ilivyo Mitandaoni Baada ya Rais Magufuli Kuruhusu Michezo Kurejea !

KATIKA Furaha ambayo wanayo watanzania Wengi hasa wadau wa Michezo na Mashabiki, ni baada ya siku ya Leo ambapo Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Pombe Joseph Magufuli kuagiza Mamlaka Husika na Masuala ya Michezo kuarejesha Ligi mbali mbali za Michezo sambamba na michezo Mingine kuanzia Juni 1. Kauli hiyo imetolewa Mapema Leo wakati rais magufuli alipokuwa akiapisha Viongozi Walioteliwa, Katika Ikulu ya Chamwino, Jijini Dodoma, sambamba na kuruhusu Vyuo vikuu na Kidato cha Sita kurejea katika Masomo yao. Sasa, kunako Mitandao mbali mbali ya Kijamii, Wadau…

Read More

KIKONGWE mwenye Miaka 108 Hatimaye amepona Maambukizi ya Corona : “Nilipangiwa Kupona”

SYLVIA GOLDSHOLL alifanikiwa kukwepa Mishale Mingi hatarishi ikiwema “Mafua ya Hispania (Spanish Flu) ya Mwka 1918, Vita Kubwa Mbili za Dunia, Anguko la Kiuchumi Duniani na safari Hii amefanikiwa Kupona kabisa Maambukizi Ya Virusi vya Corona. Mwanamke huyo mwenye Umri wa Miaka 108 kutokea New Jersey Nchini Marekani, hivi sasa ni mwenye tabasamu mwanana akiwa na afya yake njema kabisa baada ya kuwa ni mmoja kati ya “Kikongwe zaidi” aliyepona maambukizi ya COVID 19 Bi. Goldsholl aliingia katika Historia ya kuwa na furaha zaidi mnbamo April 15 Baada ya kuruhusiwa…

Read More

SWIZZ BEATZ: “Wasanii wa Sasa Wa Hip Hop wanatakiwa Kulipa Kodi kwa Waliofungua Njia”

Muandaaji wa Muziki wa Hip Hop Nchini Marekani, Kasseem Dean “Swizz Beatz” anaamini huu ni muda muafaka kwa Wasanii mbali mbali wa Hip Hop Nchini Marekani na hata ulimwenguni kote, kuanza kurudisha Matunda na fadhila kwa Wakongwe wa Muziki huo ambao wameufikisha Hapa Ulipo hivi sasa Swizz ambaye pia no mmoja kati ya Rappers wenye balaa kubwa kila wanapoachia “mikwaju” yao, aliyasema hayo kupitia Instagram Live alipokuwa akizungumza na Mkongwe mwenzake kwenye soko la Hip Hop, Joe Budden. Hit Maker huyo wa “Money In The Bank” ameongeza kuwa huu ni…

Read More

KATY PERRY Baada ya Kuhisi “Kichanga Chake” kilichopo Tumboni kimemuonesha “Kidole Cha Kati Kati”… Adai amerithi Tabia Yake!!

SIKU Chache zilizopita, Msanii wa Pop Nchini Marekani, Katy Perry alituonesha video clip ya “Ultra Sound” ambayo ilikuwa ikionesha maendeleo ya kichanga chake kilichopo tumboni kama kinaonesha hali jongefu ma lah! Lakini kilichoonekana zaidi na kuvutia watu wengi zaidi hata Katy Perry mwenyewe, ni namna Kichanga hicho kilivyoonesha ishara kwa njia ya vidole, huku Mama yake (Katty Perry) akichombeza kwa kudai kuwa Kichanga kile kimeonesha ishara ya “Kidole Cha Kati Kati” ambacho mara nyingi hutafsiriwa kama “Lugha Korofi” ama Tusi” ambalo mara nyingi hutumiwa na vijana wa mitaani hasa Ughaibuni.…

Read More