STAMINA:NAMTAFUTA RICH MAVOKO SANA

Stamina Ni Moja Ya Msanii Kutoka Nchini Tanzania Ambaye Anafanya Vizuri Na Licha Tu Ya Kufanya Vizuri Ni Moja Ya Msanii Ambaye Anawakilisha Kundi La Rostam Akiwa Na Msanii Mwenzake Ambaye Ni Rafiki Yake Wa Karibu Maaufu Kwa Jina La Roma.

Stamina Amezungumza Kupitia Kipindi Cha Hitzone Na Kuweka Wazi Kuhusu Moja Ya Wimbo Wake Uliomtambulisha Katika Tasnia Ya Muziki Kabwela Akiwa Amemshirikisha Rich Mavoko.

Stamina Amesema Kuwa Anatamani Tena Kufanya Kazi Na Rich Mavoko Kwakuwa Alifanya Vizuri Sana Katika Wimbo Huo Lakini Pia Ni Mshikaji Wake Wa Muda Mrefu Ila Kwa Sasa Anamtafuta Sana Na Hajui Alipo

“Rich Mavoko Mimi Ni Msanii Ninayemkubali Sana Na Hata Ukimya Wake Mpaka Sasa Unaniumiza Sijui Yuko Wapi Mimi Ni Mshikaji Wangu Na Pia Tumepambana Sana Na Kunywa Juice Cola Na Mandazi Namtafuta Sana Kama Wewe Unajua Alipo Aisee Nikimpata Nitafurahi”

Amesema Stamina Ambaye Amsisitiza Kuwa Kabwela Ni Wimbo Ambao Unaishi Katika Kipindi Chochote Kile.

Related posts