LUDACRIS:NAIPENDA FILAMU YA COMING TO AMERICA 1

Msanii Kutoka Nchini Marekani Ambaye Pia Ni Miwgizaji Na Alijipatia Umaarufu Kupitia Muendelezo Wa Filamu Za Fast And Furious Ludacris Ludacris Ambaye Licha Ya Kuwa Ni Mmarekani Na Mke Wake Ni Raia Wa Gabon Ludacris Pia Mwaka Jana Mwishoni Alipewa Uraia Wa Gabon Kwahiyo Ni Moja Ya Msanii Ambaye Ana Uraia Wan Chi Mbili Tofauti. Leo Ukimuuliza Ludacris Kuhusu Filamu Anayoipenda Unaweza Kudhani Anaweza Kutaja Filamu Ambaye Nay Eye Ameshiriki Ndani Yake Lakini Si Hivyo Kwa Kuwa Ludacris Anamkubali Sana Msanii Eddy Murphy Na Coming To America Ndiyo Filamu Yake…

Read More

KHALIGRAPH JONES:MPIGA PICHA WA DIAMOND ALININYIMA PICHA

Rapa Khaligraph Jones Kutoka Nchini Kenya Ambaye Kwa Hivi Sasa Anafanya Vizuri Na Ngoma Yake Ya Hao Akiwa Ameshirikiana Na Masauti. Khaligraph Ambaye Mwanzoni Mwaka Mwaka Huu Ameweka Rekodi Ya Kushida Kama Rapa Boroa Afrika Katika Tuzo Za Sound City Mvp. Sasa Khaligraph Kwa Mara Ya Kwanza Amezungumza Jambo Ambalo Limemshangaza Baada Ya Ksuhinda Tuzo Hiyo Na Kukutana Na Msanii Diamond Platnumz Ambaye Alipiga Naye Picha N Ahata Kumpongeza Lakini Chakushangaza Akiomba Picha Hizo Walizopiga Hapewi Na Kushindwa Kujua Tatizo.

Read More

#MtotoWaKishua: Rick Ross Amnunulia Binti Yake Gari Hili La Kifahari Masomo Yake.

UKITIZAMA Kwenye Instagram Story ya Rapa Kutokea Nchini Marekani, William Leonard Roberts II maarufu kama “Rick Ross”, utakutana na Video Clip ambayo inaonesha Zawadi kwa Binti yake wa Kike anayeitwa Toie Roberts (18) ikiwasilishwa Nyumbani kwake, huku akitamka kuwa hiiyo ndiyo tafsiri halisi ya Utajiri na Sura ya Utajiri kwa wale wasioelewa tafsiri ya Utajiri. Rozay ambaye alizaliwa Januari 28,1976 aliamua kumnunulia Binti yake Huyo Gari la kifahari aina ya MERCEDES BENZ G CLASS 2020 maarufu kama G Wagon g63 2020 baada ya kuhitimu masomo yake ya High School na…

Read More

UJUMBE WA AUNTY EZEKIEL KWA BINTI YAKE: “Naomba Kwa Hapa tulipofikia Mwanangu, Utanisamehe……. “

BINTI wa Kike wa Muigizaji wa Filamu hapa nchini Tanzania (Bongo Movie), Aunty Ezekiel, ambaye anaitwa “Cookie” hatimaye amepiga hatua nyingine katika maisha yake hasa kwa kuongeza Umri mwingine, akiwa mwenye afya nzuri na tabasamu Mwanana. Hiyo imethibitishwa kupitia instagram account ya Mama yake (aunty Ezekiel) ambaye aliandka ujumbe mrefu ulikuwa na maelezo ambayo kila mtu amebaki na uelewa wake katika tafsir yake kulingana na namna ambvyo Aunty mwenyewe aliandika ujumbe huo na kusomwa na maelfu ya Wafuasi wake Katika Ujumbe huo, Aunty ameelezea namna ambavyo amejitoa vilivyo kuhakikisha Cookie…

Read More