KHALIGRAPH JONES:MPIGA PICHA WA DIAMOND ALININYIMA PICHA

Rapa Khaligraph Jones Kutoka Nchini Kenya Ambaye Kwa Hivi Sasa Anafanya Vizuri Na Ngoma Yake Ya Hao Akiwa Ameshirikiana Na Masauti.

Khaligraph Ambaye Mwanzoni Mwaka Mwaka Huu Ameweka Rekodi Ya Kushida Kama Rapa Boroa Afrika Katika Tuzo Za Sound City Mvp.

Sasa Khaligraph Kwa Mara Ya Kwanza Amezungumza Jambo Ambalo Limemshangaza Baada Ya Ksuhinda Tuzo Hiyo Na Kukutana Na Msanii Diamond Platnumz Ambaye Alipiga Naye Picha N Ahata Kumpongeza Lakini Chakushangaza Akiomba Picha Hizo Walizopiga Hapewi Na Kushindwa Kujua Tatizo.


“Nilipoenda Backstage Nilikutana Na Diamond Na Akanipongeza Kwa Kupata Tuzo Na Mpiga Picha Wa Diamond Akatupiga Picha Nikachukua Namba Zake Lakini Kila Nikijaribu Kumtafuta Mpiga Picha Huyo Hanitumii Zile Pia Mpaka Nikawaza Kuwa Tatizo Ni Nini Au Labda Kwa Kuwa Mimi Nilikuwa Na Tuzo Na Diamond Hana Tuzo Lakini Mimi Namkubali Simba So Sijui Tatizo Nini Hawajanitumia Picha Zangu”
Alisema Khaligraph Ambaye Pia Ni Moja Ya Msanii Ambaye Ana Mipango Mingi Sana Kwa Mwaka Huu Kwaajili Ya Mashabiki Zake.

Related posts