LUDACRIS:NAIPENDA FILAMU YA COMING TO AMERICA 1

Msanii Kutoka Nchini Marekani Ambaye Pia Ni Miwgizaji Na Alijipatia Umaarufu Kupitia Muendelezo Wa Filamu Za Fast And Furious Ludacris Ludacris Ambaye Licha Ya Kuwa Ni Mmarekani Na Mke Wake Ni Raia Wa Gabon Ludacris Pia Mwaka Jana Mwishoni Alipewa Uraia Wa Gabon Kwahiyo Ni Moja Ya Msanii Ambaye Ana Uraia Wan Chi Mbili Tofauti.

Leo Ukimuuliza Ludacris Kuhusu Filamu Anayoipenda Unaweza Kudhani Anaweza Kutaja Filamu Ambaye Nay Eye Ameshiriki Ndani Yake Lakini Si Hivyo Kwa Kuwa Ludacris Anamkubali Sana Msanii Eddy Murphy Na Coming To America Ndiyo Filamu Yake Pendwa Zaidi Amezungumza Hayo Akizungumza Katika Mahojiano Na Nick Canon.


“Mimi Naipenda Coming To America Ya Kwanza Nampenda Sana Eddy Murphy Ila Hata Ya Pili Sio Mbaya Lakini Naipenda Sana Ya Kwanza Kwakuwa Ina Vitu Vingi Sana Ndani Yake”
Alisema Ludacris Ambaye Ni Muda Hajaupa Sana Nguvu Kubwa Mziki Na Amekuwa Busy Na Mambo Mengine.


Related posts