NAIBU WAZIRI WA MADINI MH STANSLAUS NYONGO AMEMFUTA KAZI AFISA MADINI KWA KUFANYA BIASHARA KINYUME NA TARATIBU

Naibu waziri wa madini Mh Stanslaus Nyongo amemfuta kazi afisa madini aliyekua anasimamia soko la madini la la Tunduru mkoani Ruvuma Athman Masawe kwa kufanya biashara ya madini kinyume na taratibu na hivyo kuikosesha mapato serikali, Aidha kwa upande wake mkuu wa wilaya ya Tunduru Mh Julius Mtatiro amesema afisa huyo amekua akifanya kazi kwa mazoea

Read More

WAGOMBEA WA CCM UPANDE WA ZANZIBAR MSIUMIZANE

📻… “Niwaombe sana hasa wagombea wa CCM upande wa Zanzibar wawe waangalifu wasiumizane kwenye kunadi Sera zao maana kazi sio Urais tu. Hata kwenye Majimbo watia nia mtarogana bure na kuumizana bure atakayechaguliwa Mungu anamjua.”..“Tukigombana wakati wa kampeni tutapoteza Direction. Atakayechaguliwa wakati wa kampeni tumbebe na nafasi zipo nyingi za kuteua na hata sasa zipo kama Nne sijateua. Najiuliza nimteue nani? Muhimu ni tushike Dola kwanza.” ..“Tanzania ina umuhimu kuliko sisi na niwathibitishie mambo yanaenda vizuri sana kila mahali mambo yanafanyika.” –.. “Nchi hii ni tajiri. Nataka niwaambie ukweli ni…

Read More

UMOJA WA ULAYA WASHINDWA FIKIA TAMATI JUU YA SAFARI ZA NDANI NA NJE ZA WATU WA NCHI ZAO

Mataifa ya Umoja wa Ulaya jana yameshindwa kufikia makubaliano juu ya orodha ya nchi zilizo salama ambazo raia wake wangeweza kuruhusiwa kuanza kusafiri ndani na nje ya kanda hiyo kuanzia mwezi Julai. . Mabalozi wa nchi 27 wanachama wa Umoja wa Ulaya walikutana mjini Brussels jana kutayarisha mwongozo wa kuruhusu baadhi ya raia wa mataifa kadhaa duniani kuanza kuingia tena kwenye mataifa ya kanda hiyo bila ya masharti ya kukaa karantini. . Hata hivyo wanadiplomasia hao wameomba muda zaidi wa kushauriana na serikali za mataifa yao kabla ya kufikia uamuzi…

Read More

KCEE:NIGERIA BADO HATUNA MFUMO MZURI KATIKA MUZIKI WETU

Msanii Kcee Ambaye Pia Ni Moja Ya Mgurugenzi Wa Lebo Maarufu Nchini Nigeria Maarufu Kwa Jina La Five Star Music Ambayo Ilifanikiwa Kusaini Wasanii Akiwemo Harry Songs Pamoja Na Skibii Ambao Kwa Sasa Wasanii Hao Pia Wamejitoa Katika Lebo Hiyo Na Kila Mmoja Kuanzisha Safari Yake Kivyake. Licha Ya Yote Hayo Kcee Bado Ameendelea Kufanya Kazi Na Akiwa Kama Msanii Ambaye Ana Uzoefu Wa Kumiliki Lebo Na Kusimamia Wasanii Ameeleza Moja Ya Changamoto Ambayo Bado Ni Kubwa Sana Katika Muziki  Wa Nigeria Katika Kusaini Wasanii Katika Lebo. Kcee Amezungumza Hayo…

Read More