PROFESSOR JAY:MSICHUKULIE POA DIAMOND KUPATA VIEWERS BILIONI 1.

Mbunge Wa Jimbo La Mikumi Joseph Haule Maarufu Kwa Jina La Professor Jay Ambaye Licha Ya Kukaa Katika Kiti Cha Bunge Pia Ni Moja Ya Mtaalamu Wa Kughani Mashairi Katika Muziki Wa Hiphop Nchini Tanzania. Ukipiga Hesabu Ya Nyimbo Zote Za Msanii Diamond Platnumz Kupitia Channel Yake Ya Youtube Utagunduua Kuwa Msanii Huyo Amefikisha Watazamaji Bilioni 1 Huku Akiwa Ni Msanii Wa Kwanza Afrika Kufikia Hatua Hiyo Ambayo Ni Kubwa Na Si Ndogo Hata Kidogo. Sasa Professor Jay Ameamua Kutoa Lake La Moyoni Na Kuweka wazi Kupitia Ukurasa Wake Wa…

Read More

BIEN:SAUTI SOL TUMEJITAFUTA SANA MPAKA KUFIKIA TULIPO SASA

Ukilitaja Kundi La Muziki La Sauti Sol Huwezi Sahau Kuwa Ni Moja Ya Kundi La Muziki Linalofanya Vizuri Barani Africa.Sauti Sol Wameachia Album Yao Ambayo Imepewa Jina La Midnight Train Moja Ya Album Ambayo Imeonekana Kuwa Na Mapokezi Makubwa Licha Ya Kuwa Wameitoa Album Hiyo Wakati Dunia Nzima Kwa Ujumla Inapitia Katika Janga La Ugonjwa Wa Corona. Moja Ya Msanii Ambaye Anawakilisha Kuni Hilo La Sauti Soul Bien Amezungumza Na Kuweka Wazi Kuwa Safari Yao Kama Sautisol Kufika Walipo Haikuwa Safari Ambayo Ni Rahisi. “Nafikiri Katika Maisha Lazima Uwe Watu…

Read More

KINGWENDU: “Mwanza Vijijini Kumesababisha Tusifanye Filamu za Vichekesho”

KAMA utakuwa unakumbuka vizuri sana, kipindi cha Nyuma Filamu nyingi sana za Vichekesho zilikuwa ni sehemu ya Gumzo na hata kufikia hatu kupendwa sana na wadau wengi sana wa tasnia hiyo hapa Nchini Tanzania. Katika filamu hizo, ulikuwa unakutana na muunganiko wa wasanii wengi sana wa vichekesho, hali ambayo iliashiria kuwa huenda umoja wao ukaendelea kutpatia burudani na wao kupata matunda kutokana na kuwepo kwa mauzo mengi mitaani. KINGWENDU ni miongoni mwa wachekeshaji wakongwe ambao pia walionekana sana katika Filamu hizo za vichekesho na kuleta ladha nzuri sana huku akishirikiana…

Read More

QUEEN LATIFAH: “Vijana, Huu Sio Mwisho Wa Dunia. Hii Ni Dunia Yenu”

UKIACHILIA mbali uwezo wake mkubwa wa uandishi wa mashairi “Konki” katika muziki wa Hip Hop, Ufundi wake “Mtamu” kwenye suala zima la “Ku-flow” kunako Kazi zake na hata zile ambazo anashirikishwa, Mkongwe kwenye utamaduni wa “hip Hop” Duniani kwa upande wa Jinsia ya Kike, Queen Latifah pia ni miongoni mwa Waigizaji Bora sana katika ulimwengu wa filamu Duniani na kila mtu analiheshimu hilo kwa nafasi yake. Lakini nje ya Vipaji hivyo alivyonavyo, Queen Latifah pia ni miongoni mwa Wasanii ambao waliamua kusimama katika upande wa Harakati za kimaendeleo hasa kwa…

Read More

LUDACRIS: “Niliongea na Familia Ya George Floyd”

RAPA Ludacris ni Miongoni mwa watu maarufu ambao waliungana na Familia ya Marehemu George Floyd Nchini Marekani, katika Msiba sambamba na Mazishi, ikiwa ni sehemu ya kuguswa na kitendo cha “kikatili” kilichofanywa na Baadhi ya Askari Polisi ambao walipelekea Kifo cha Mmarekani mweusi huyo. Ukiachilia mbali kuhusika ama kujumuika na Familia ya marehemu, Ludacris pia aliungana na maelfu ya raia wa Marekani ambao walikuwa katika maandamano ya kupiga vita Ubaguzi wa rangi ambao umekuwa ukisababisha vifo vya “wamarekani Weusi” na kusababisha vifo vya watu kadhaa akiwemo George Floyd ambaye alipoteza…

Read More

POLISI WASHUTUMIWA KUWAUA WATU 15 KIHOLELA

Mamlaka inayoangazia utendakazi wa polisi nchini Kenya IPOA, Jumatano ilisema kwamba Wakenya wapatao 15 wameuawa na polisi katika taifa hilo la Afrika Mashariki katika kipindi hiki ambacho kumewekwa marufuku ya kutoka nje usiku, kati ya masharti mengine, kama hatua za kudhibiti kasi ya ongezeko la maambukizi ya virusi vya Corona. Kwa mujibu wa ripoti iliyotolewa mjini Nairobi na mamlaka hiyo, maafisa sita wa polisi watashtakiwa kwa makosa ya mauaji na unyanyasaji, baadhi wakituhumiwa kuhusika kwa vitendo vya kufyatua risasi kiholela dhidi ya raia wakati wakitekeleza masharti ya marufuku hiyo. Polisi…

Read More