JOHN LEGEND:NATAMANI SANA TAMASHA MUBASHARA NA MASHABIKI

Tangu Virusi Vya Corona Viingie Ulimwenguni Ni Mengi Yameshindikana Kufanyika N Ahata Ni Moja Ya Jambo Ambalo Limepelekea Mitindo Ya Maisha Ya Watu Wengi Kubadilika  Na Kufuatia Mabadiliko Hayo Kuna Wengine Wamefaidika Na Wengine Wameathirika Kwa Nafasi Kubwa.

Mwanamziki Wa Rnb Kutoka Nchini Marekani John Legend Amezungumza Katika Mahojiano Na Chanzo Cha Habari Cha Toda Na Kuweka Wazi Namna Ambavyo Yeye Binafsi Amekumbuka Sana Kufanya Show Za Live.

“Kwa Upande Wangu Kilichobadilika Naona Ni Kwa Upande Wa Filamu Kwa Maana Kwa Sasa Kazi Zao Zimekuwa Zikipata Nafasi Hata Kwenye Mitandao Zaidi Kuliko Zamani Walitegemea Katika Majumba Ya Cinema Zaidi,Kwa Upande Wa Muziki Hakuna Kilichobadilika Mizunguko Yetu Ni Ya Mtandaoni Kila Siku Ila Nilichokumbuka Zaidi Ni Kupata Nafasi Ya Kuimba Ana Kwa Ana Na Mashabiki Wangu Ndicho Kitu Nakikumbuka Sana”

Alisema John Legend Ambaye Yuko Mbioni Kuja Na Album Yake Kwaajili Ya Mashabiki Zake.

Facebook Comments

Related posts