NADIA MUKAMI:SIPENDI KABISA WATU WANISEME NILIKUWA NA MAHUSIANO NA ARROW BWOY

Msanii Kutoka Nchini Kenya Ambaye Alifanikiwa Kupokelewa Vyema Kwenye Ulimwengu Wa Muziki Afrika Ya Mashariki Nadia Mukami Baada Ya Kufanya Ngoma Kama Radio Love Ambayo Alimshirikisha Msanii Kutoka Fas Cash Music Arrow Bwoy.

Lakini Baada Ya Kufanya Kazi Hiyo Kuna Tetesi Nyingi Zilizuka Zikihusisha Wasanii Hao Wawili Kudaiwa Kuwa Na Mahusiano Ya Kimapenzi Jambo Ambalo Mpaka Leo Linamkera Sana Nadia Mkami.

Nadia Mkami Amebainisha Kuwa Moja Ya Jambo Ambalo Lilikuwa Linamkera Sana Ni Watu Kumsema Kuwa Na Arrow Bwoy Akizungumza Na Moja Ya Mtangazaji Nchini Kenya Alisema.

“Mimi Sipendi Watu Waseme Nilikuwa Na Arrow Bwoy Kwaajili Ya Kupata Jina Mimi Niko Single Na Kuna Blogu Moja Alindika Tetesi Kuhusu Mimi Na Arrow Bwoy Jambo Ambalo Tulinyamaza Liweze Kusukuma Wimbo Lakini Watu Wakachukulia Ni Kweli Lakini Si Hivyo “

Amesema Nadia Mukami Ambaye Kwa Mujibu Wa Maelezo Yake Amekuwa Akionyesha Wasiwasi Wa Kuwa Na Jambo Kati Yake Na Msanii Arrow Bwoy.

Facebook Comments

Related posts