SHENSEEA:AINA YA MUZIKI WANGU INATOKANA NA NINAVYOJISIKIA

Msanii Wa Muziki Wa Dancehall  Kutoka Nchini Jamaica Ambaye Pia Amefanikiwa Kufanya Kazi Kibao Na Wasanii Mbalimbali Ikiwemo Blessed Ambayo Alifanya Na Rapa Kutoka Nchini Marekani Tyga.

Shenseea Ameweka Wazi Moja Ya Jambo Ambalo Huwa Linapelekea Yeye Kuja Na Aina Ya Muziki Tofauti Tofauti Mara Nyingi Hupata Nafasi Anapokuwa Anafanya Kitu Fulani.

“Mimi Huwa Ninapokuwa Nimekaa Labda Nakunywa Au Hata Nikiwa Nafikiria Kitu Fulani Kwa Muda Huo Ndio Najikuta Napata Cha Kuandika Kwenye Wimbo Wangu Kulingani Na Hali Ninayokuwa Nayo”

Amesema Shenseea Ambaye Kwa Mwaka Huu Pia Tutegemee Kusikia Mengi Kutoka Kwake Akiwa Kama Msanii Ambaye Ana Mipango Mingi Sana Hasa Kwa Upande Wa Kuachia Kolabo Mbali Mbali  Alizofanya Mpaka Sasa.

Facebook Comments

Related posts