Wajane nchini wametakiwa kujidhatiti katika mapambano yakujikwamua kiuchumi badala ya kukata tamaa

Wajane nchini wametakiwa kujidhatiti katika mapambano yakujikwamua kiuchunmi badala ya kukata tamaa na kulalamika ndani ya jamii,

Hayo yamesemwa na Naibu waziri wa ardhi , nyumba na maendeleo ya makazi ambaye pia mbunge wa jimbo la Ilemela Mh. Angelina Mabula wakati akiongea na Jembe Habari kwenyemaadhimisho ya siku ya wajane duniani,

Mabula ameongeza kusema kuwa wajane wamekuwa nawakikabiliwa na changamoto ya kukosa haki za kumiliki malizilizoachwa na wenza wao kutokana na sababu mbalimbali nahivyo kutoa wito wa kutungwa sera kwa ajili ya wajane

Facebook Comments

Related posts