Wanafunzi zaidi ya miambili wa vyuo mbalimbali mkoani Mwanza wameelimishwa juu ya rushwa ya ngono

Wanafunzi zaidi ya miambili wa vyuo mbalimbali mkoani Mwanza wameelimishwa juu ya rushwa ya ngono na maadili pamoja na wajibu wa vyuo vya elimu ya juu kwa ajili ya maendeleo ya taifa

Naye kwa upande wake Kaimu Mkurugenzi wa chuo chamipango Bw Godfrey Mkonoki amesema kumeanzishwamakundi maalum kwa ajili ya kupinga rushwa ya ngono

Facebook Comments

Related posts