NYANDA(BRICK N’ LACE):MR P WA PSQAURE ALINIAMBIA TUNAPENDWA AFRICA.

Msanii Kutoka Nchini Jamaica Ambaye Alipata Umaarufu Yeye Pamoja Na Dada Yake Wakiwa Wanajiita Brick And Lace Kama Kundi La Muziki Kutoka Jamaica N Ahata Kufanikiwa Kufanya Vyema Na Wimbo Wao Kama Vile Love Is Wicked Na Nyingine Nyingi.

Sasa Nyanda Ambaye Ni Moja Ya Msanii Kutoka Kundi Hilo Ambaye Pia Amewahi Kufanya Kazi Na Peter Wa Kundi La P Square Wimbo Uliopewa Jina La Wokie Wokie Ameweka Wazi Moja Ya Jambo Aliloambiwa Na Peter Walipokutana Kufanya Kazi Hiyo.

“Nilikutana Na Mr P Kufanya Kazi Yetu Aliniambia Unajua Nynyi Mnapendwa Sana Africa Na Nyimbo Zenu Zimefanya Vizuri Sana Huku,Kwakweli Sikujua Hilo Na Ilinifanya Nipate Hisia Tofauti N Ahata Nikisikia Wimbo Wetu Love Is Wicked Huwa Napata Hisia Sana Kwakuwa Ni Wimbo Ambao Umetutoa Mbali Sana”

Alisema Nyanda Ambaye Amekuwa Busy Na Maisha Mengine Tofauti Na Muziki Kwa Muda Sasa Japo Muziki Ni Kitua Mbacho Anakipenda Kufa .

Related posts