NAIBU WAZIRI WA MADINI MH STANSLAUS NYONGO AMEMFUTA KAZI AFISA MADINI KWA KUFANYA BIASHARA KINYUME NA TARATIBU

Naibu waziri wa madini Mh Stanslaus Nyongo amemfuta kazi afisa madini aliyekua anasimamia soko la madini la la Tunduru mkoani Ruvuma Athman Masawe kwa kufanya biashara ya madini kinyume na taratibu na hivyo kuikosesha mapato serikali,

Aidha kwa upande wake mkuu wa wilaya ya Tunduru Mh Julius Mtatiro amesema afisa huyo amekua akifanya kazi kwa mazoea

Related posts