RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI ARUDISHA FOMU DODOMA

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisaini Fomu aliyorudisha ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa kugombea Urais kwa Tiketi ya CCM katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika baadae mwaka huu anae mtazama ni Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Bashiru Ally Kakurwa katika ukumbi wa mikutano Makao Makuu ya CCM White House Dodoma leo.

Related posts