NYANDA(BRICK N’ LACE):MR P WA PSQAURE ALINIAMBIA TUNAPENDWA AFRICA.

Msanii Kutoka Nchini Jamaica Ambaye Alipata Umaarufu Yeye Pamoja Na Dada Yake Wakiwa Wanajiita Brick And Lace Kama Kundi La Muziki Kutoka Jamaica N Ahata Kufanikiwa Kufanya Vyema Na Wimbo Wao Kama Vile Love Is Wicked Na Nyingine Nyingi. Sasa Nyanda Ambaye Ni Moja Ya Msanii Kutoka Kundi Hilo Ambaye Pia Amewahi Kufanya Kazi Na Peter Wa Kundi La P Square Wimbo Uliopewa Jina La Wokie Wokie Ameweka Wazi Moja Ya Jambo Aliloambiwa Na Peter Walipokutana Kufanya Kazi Hiyo. “Nilikutana Na Mr P Kufanya Kazi Yetu Aliniambia Unajua Nynyi Mnapendwa…

Read More

CPWAA:KUNA CHANGAMOTO KWENYE BONGO FLEVA HASA KWA WASANII WA KIKE

C Pwaa Ni Moja Ya Msanii Wa Muda Mrefu Katika Kiwanda Cha Muziki Nchini Tanzania Na Moja Kati Ya Msanii Ambaye Licha Ya Kuwa Anapotea Katika Muziki Kwa Kipindi Flani Lakini Anaporejea Mara Nyingi Huja Kwa Kasi Ya Ajabu Na Muitikio Mzuri. C Pwaa Ambaye Kwa Hivi Sasa Anatarajia Kuachia Ep Yake Ikiwa Ni Miaka Sita Tangu Akae Kimya Katika Muziki ,Msanii Huyo Amezungumza Na Hitzone Ya Jembe Fm Na Kuweka Wazi Mengi Kuhusu Ujio Wake Katika Muziki Lakini Moja Na Kubwa Kuhusu Msanii Huyo Amezungumzia Nafasi Ya Wasanii Wa…

Read More

PREZZO:SIKUTAKA KUONEKANA KAMA SHABIKI NILIPOKUTANA NA JAY Z

Rapa Jackson Makini Kutoka Nchini Kenya Ni Moja Kati Ya Msanii Ambaye Amewahai Kukutana Na Rapa Kutoka Marekani Jay Z Akiwa Anawakilisha Afrika Ya Mashariki ,Prezzo Alikutana Na Jay Z Mwaka 2012 Akiwa Balozi Wa Kampeni Ya Watu Maarufu Iliyokuwa Na Dhumuni La Kupinga Umaskini Na Magonjwa Duniani. Prezzo Alipata Nafasi Ya Kukutana Na Jay Z Licha Ya Kuwa Msanii Huyo Alikuwa Ni Shabiki Mkubwa Wa Jay Z Lakini Alipokutana Nae Hakutaka Kuonyesha Kuwa Ni Shabiki Bali Alitaka Kukaa Meza Moja Na Msanii Huyo. Akizungumza Katika Mahojiano Na Chanzo Kimoja…

Read More

Rais wa Marekani Donald Trump ameongeza muda wakusitishwa kwa visa za bahati nasibu pamoja na zile za wafanyakazi wa kigeni hadi mwisho wa 2020

Wafanyikazi wenye ujuzi mkubwa wa kiufundi, wafanyikazi wasio katika sekta ya kilimo na maafisa wakuu wa makampuni wataathirika. Ikulu ya Marekani imesema kwamba hatua hiyo itabuni ajira kwa Wamarekani wasio na kazi kutokana na mlipuko wa virusi vya corona. Lakini wakosoaji wanasema kwamba Ikulu ya Whitehouse inatumia janga la corona ili kukaza sheria za uhamiaji.

Read More

Wajane nchini wametakiwa kujidhatiti katika mapambano yakujikwamua kiuchumi badala ya kukata tamaa

Wajane nchini wametakiwa kujidhatiti katika mapambano yakujikwamua kiuchunmi badala ya kukata tamaa na kulalamika ndani ya jamii, Hayo yamesemwa na Naibu waziri wa ardhi , nyumba na maendeleo ya makazi ambaye pia mbunge wa jimbo la Ilemela Mh. Angelina Mabula wakati akiongea na Jembe Habari kwenyemaadhimisho ya siku ya wajane duniani, Mabula ameongeza kusema kuwa wajane wamekuwa nawakikabiliwa na changamoto ya kukosa haki za kumiliki malizilizoachwa na wenza wao kutokana na sababu mbalimbali nahivyo kutoa wito wa kutungwa sera kwa ajili ya wajane

Read More

NADIA MUKAMI:SIPENDI KABISA WATU WANISEME NILIKUWA NA MAHUSIANO NA ARROW BWOY

Msanii Kutoka Nchini Kenya Ambaye Alifanikiwa Kupokelewa Vyema Kwenye Ulimwengu Wa Muziki Afrika Ya Mashariki Nadia Mukami Baada Ya Kufanya Ngoma Kama Radio Love Ambayo Alimshirikisha Msanii Kutoka Fas Cash Music Arrow Bwoy. Lakini Baada Ya Kufanya Kazi Hiyo Kuna Tetesi Nyingi Zilizuka Zikihusisha Wasanii Hao Wawili Kudaiwa Kuwa Na Mahusiano Ya Kimapenzi Jambo Ambalo Mpaka Leo Linamkera Sana Nadia Mkami. Nadia Mkami Amebainisha Kuwa Moja Ya Jambo Ambalo Lilikuwa Linamkera Sana Ni Watu Kumsema Kuwa Na Arrow Bwoy Akizungumza Na Moja Ya Mtangazaji Nchini Kenya Alisema. “Mimi Sipendi Watu…

Read More