Month: July 2020
MAGAZETI YA LEO JULY 23, 2020
MAGAZETI YA LEO JULY 22, 2020
MAGAZETI YA LEO JULY 21, 2020
MAGAZETI YA LEO JULY 20, 2020
MAGAZETI YA LEO JULY 17, 2020
MNYIKA HANA MPANGO WA KUGOMBEA MWAKA HUU
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Taifa, John Mnyika amesema hana mpango wa kugombea ubunge mwaka huu Mnyika atoa maamuzi hayo kuafuatia sababu yakutaka kubaki na cheo chake cha ukatibu mkuu ili kukiimarisha chama cha chadema kama Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere livyofanya kuimarisha Chama cha Tanu.
Read MoreMAGAZETI YA LEO JULY 15, 2020
Godbless Lema Atamba Kushinda Ubunge Arusha Mjini
Mbunge wa Arusha Mjini anayemaliza muda wake, Godbless Lema amesema sheria ingeruhusu, angetaka wagombea wote wa CCM Arusha ashindane nao. “Nime sikia sikia majina ya wagombea Ubunge Arusha Mjini kupitia ccm.Kama sheria ingeruhusu wote 30 kushindana nami na picha zao wote kutokea kwenye karatasi ya kura dhidi yangu,bado wangeimba wimbo walio imba 2010/2015.Twendeni mpaka mwanzo wa bahari,wepesi sana hawa.” ameandika Lema kwenye ukurasa wake wa twitter.Leo, CCM imefungua pazia kwa wanachama wake kuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea nafasi hiyo, zoezi hilo linatarajiwa kusitishwa tarehe 17 Julai 2020
Read MoreMtoto wa Lowassa Achukua Fomu ya Kugombea Ubunge Jimbo la Monduli
Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Monduli, Langael Akyoo, leo Jumanne July 14,2020 amemkabidhi Fredrick Lowassa fomu ya kuomba ridhaa ya Chama hicho ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Monduli. Fredrick ni Mtoto wa Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa.
Read More