Sevilla yaichapa Man U yafuzu fainali Europa

Sivilla yaichapa Manchester United magoli 2-1 magoli ya Sevilla yanefungwa na Suso 26′ na L. de jong 78′ goli la Manchester United limefungwa na Bruno Fernandes 9′ (P)

Sevilla inafuzu fainali ya Europa na kusubiri kucheza na mshindi wa nusu fainali ya pili Kati ya Inter Milan na Shaktar

Related posts