NATACHA:MSANII KUTOKA BURUNDI ANAYEKUJA KUITEKA BONGO FLEVA

Mshindi Wa Tuzo Mwaka 2014 Kwa Wimbo Bora Wa Kisasa Wa Uhamasishaji Wa Jadi kupitia Tamasha La Kimataifa SICA .Natacha Ngendabanka Ni Msanii Wa Kurekodi Na Mtunzi Wa Burundi, Pia Anajulikana Zaidi Kama Natacha, Ambaye Ni Moja Ya Msanii Ambaye Ameweza Kutumia Mtindo Wa Kiafrika Katika Nyimbo Zake Zote. Baadhi Ya Baadhi Ya Nyimbo Zake  Maarufu Ni Pamoja Na “Wangu” Ft Sheebah Karungi, “Duga” Ft Fally Ipupa, Mubibona Gute Na Jigijigi Ft Barnaba Kutoka Tanzania. Natacha Ni Moja Ya Msanii Bora Wa Kike Ambaye Anaipeperusha Bendera Yake Ya Kitaifa Katika…

Read More

INNOCENT KAZERA;MWIMBAJI WA MUZIKI WA INJILI KUTOKA CONGO ALIYEPATANA NA PRODUCER KUTOKA TANZANIA

Wakati Ulimwengu Umepatwa Na Gonjwa LA  Covid 19  Gonjwa Ambalo Limesababisha Shuguli  Mbalimbali Kusimamishwa Kama Matukio Na Mkusanyiko Yote Ya Kijamii Ili Kila Mtu Aweze Kufanya Shuguli Zake Mbali Na Mazoea Ya Kawaida.Wakati Huu Umepelekea Wanamuziki Wengi Kuibuka Na Mbinu Mbali Mbali  Katika Njia Ya Kushangaza Kufanyia Kazi  Muziki Wao. Innocent Kazera Ambaye Ni Mwimbaji Wa Injili Ya Kiume Mwenye Asili Ya Nchini Kongo Akiwa Anaishi Canada.Baadhi Ya Nyimbo Ambazo Ameshatoa Ni Pamoja Na Jerusalem, Nashukuru Na Tiens Moi La Kuu. Hivi Sasa Innocent Ambaye Anatumia Lugha Tatu Katika Mzuiki…

Read More

Mkuu Wa Wilaya Ya Nyasa Kutatua Changamaoto Ili Kuongeza Ufaulu Kwa Wanafunzi

MKUU wa Wilaya ya Nyasa Bi Isabela Chilumba leo amefanya ziara ya kikazi katika Shule ya Sekondari ya Limbo, iliyopo Kata ya Kilosa, na Shule ya Sekondari ya Mbamba bay Iliyopo, Kata ya Mbamba bay wilayani hapa.Ziara hiyo ina lengo la kutatua changamoto katika shule zote za Sekondari Wilayani hapa, ili kuongeza Ufaulu wa wanafunzi wa Kidato Cha Nne na kuwapongeza Walimu wa Sekondari ya Mbamba bay, kwa kufaulisha vizuri wanafunzi wa Kidato cha Sita.Bi Chilumba amefafanua kuwa anachohitaji ni kuona wanafunzi wa Kidato cha nne wanafaulu kama wale wa…

Read More

RPC MKOA WA SINGIDA AFANYA MKUTANO NA VIONGOZI WA DINI KUHUSU UCHAGUZI MKUU

KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Singida,  Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Sweetbet Njewike ametoa rai kwa wananchi wa mkoa huo kujiepusha na makundi yanayolenga kuleta uvunjifu wa amani katika kipindi cha uchaguzi.Kamanda Njewike alitoa rai hiyo jana alipokutana na viongozi wa dini mkoani hapa na wadau wengine katika makundi mbalimbali kwenye kikao kilichofanyika katika ukumbi wa  Chuo cha Mafunzo ya Ufundi Veta. Aliyataka makundi mbalimbali yakiwemo ya Vijana kutojiingiza kwenye makundi yanayolenga kuleta uvunjifu wa amani katika kipindi cha kampeni,wakati wa zoezi la kupiga kura na matokeo kwani jeshi la…

Read More

NEC yamuidhinisha Dkt.John Pombe Magufuli kuwa mgombea wa kiti cha Rais wa Tanzania kupitia CCM

Mwenyekiti wa NEC Jaji Mstaafu Semistolces Kaijage kwa mamlaka aliyopewa amemteua Dkt. Magufuli kuwa mgombea wa Kiti cha Urais na Mama Samia kuwa mgombea wa kiti cha Makamu wa Rais kupitia CCM na kukabidhiwa seti za fomu na nyaraka muhimu kuwa kumbukumbu kwao. Hayo yamejiri leo katika Ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi zilizopo Jijini Dodoma mara tu baada ya Rais Magufuli na mgombea mwenzake kurudisha fomu za uteuzi kutoka NEC na kuonekana kuwa wanazo sifa za kugombea kupitia CCM. Katika safari yake ya kutafuta wadhamini, Rais Magufuli amepata…

Read More

SUDAN KUSINI YAKUMBWA NA MAFURIKO

Serikali ya Ujerumani imesikitishwa na mafuriko yanayotokea Sudan Kusini kutokana na mvua kubwa inayoendelea kunyesha katika maeneo mbali mbali ya Sudan Kusini. Kuanzia mwaka huu wa 2020 Serikali ya Ujerumani imechangia mamilioni ya Euro kwenye mfuko wa misaada ya kihisani wa Sudan Kusini, katika taifa hilo ambalo pia linakabiliwa na mapigano ya wenyewe kwa wenyewe. Mvua kubwa inaendelea kunyesha Sudan Kusini, maeneo yaliyoathirika sana yakiwa ni wilaya ya Jongolei, Wilaya ya Lake na mkoa wa Pibor. Zaidi ya watu mia sita elfu kwa sasa hawana pa kulala baada ya nyumba…

Read More