DKT SHIKA KUZIKWA LEO

Tanzia Doctor Louis Shika maarufu kwa jina la Mzee wa 900 itapendeza amefariki dunia hapo jana akiwa nyumbani kwa Kaka yake wakati wa uangalizi baada ya matibabu katika Hospitali ya Nyanguge iliyopo Magu mkoani Mwanza.

Awali DR. Shika alilazwa katika Hospitali ya Bugando Mwanza ambapo alipatiwa matibabu

DR Shika anatarajiwa KUZIKWA Leo hukuhuku jijini Mwanza

Related posts