Maonyesho ya 15 ya Elimu ya vyuo vikuu Tanzania kuleta mabadiliko ya kiuchumi na Maendeleo

Kuanza Maonyesho ya 15 ya Elimu ya vyuo vikuu Tanzania katibu mkuu wa TCU profesa Chalres Kihampa amesema dhima ya Maonyesho ya mwaka huu Ni kuhakikisha teknolojia mbalimbali za vyuo vya elimu ya juu hapa nchini zinatumika kikamilifu katika kuleta mabadiliko kiuchumi na maendeleo .

Kihampa ameongeza kutokana na ukuaji na uwepo wamabadiliko ya teknolojia ulimwenguni kwa sasa pamoja na uhitaji wa watalamu wa teknolojia hizo ni matarajio yao kuona vyuo vinazalisha watalamu wa kutosha kuendana na ulimwengu wa sasa .

Kaulimbiu ya maonyesho haya kwa Mwaka 2020 Ni “Nafasi ya elimu ya juu katika kuleta mabadiliko ya kiuchumi na Maendeleo”

Related posts