Mmzy Ni Msanii Wa Kizazi Kipya Kutoka Nchini Nigeria Ambaye ameamua kutoa Burudani ya Muziki, Akiwa Pia Mwandishi Mzuri Wa Nyimbo Zake Pamoja Na Msaniimpya Chini Ya Lebo Ya Muziki Iitwayo Kerae, Wimbo Wake Wa Kwanza Kuachia Unaitwa Miracle Lover Na Umetayarishwa Na Beatbybean. Chini Ya Lebo Yake Mpya Na Imetoka Mwisho Wa Mwezi Agosti 2019,Ni Wimbo Ambao Umeweza Kuleta Matokea Mazuri Kwa Msanii Huyu Katika Vyanzo Mbali Mbali Vya Habari N Ahata Kufanikiwa Kumpa Nguvu Ya Kuendelea Kutengeneza Kazi Zenye Ubora Zaidi Na Mvuto. Wakati Tukingoja Kukamilika Kwa Ep…
Read MoreMonth: August 2020
MAGAZETI YA LEO AUGUST 28,2020
MAGAZETI YA LEO AUGUST 26,2020
NATACHA:MSANII KUTOKA BURUNDI ANAYEKUJA KUITEKA BONGO FLEVA
Mshindi Wa Tuzo Mwaka 2014 Kwa Wimbo Bora Wa Kisasa Wa Uhamasishaji Wa Jadi kupitia Tamasha La Kimataifa SICA .Natacha Ngendabanka Ni Msanii Wa Kurekodi Na Mtunzi Wa Burundi, Pia Anajulikana Zaidi Kama Natacha, Ambaye Ni Moja Ya Msanii Ambaye Ameweza Kutumia Mtindo Wa Kiafrika Katika Nyimbo Zake Zote. Baadhi Ya Baadhi Ya Nyimbo Zake Maarufu Ni Pamoja Na “Wangu” Ft Sheebah Karungi, “Duga” Ft Fally Ipupa, Mubibona Gute Na Jigijigi Ft Barnaba Kutoka Tanzania. Natacha Ni Moja Ya Msanii Bora Wa Kike Ambaye Anaipeperusha Bendera Yake Ya Kitaifa Katika…
Read MoreINNOCENT KAZERA;MWIMBAJI WA MUZIKI WA INJILI KUTOKA CONGO ALIYEPATANA NA PRODUCER KUTOKA TANZANIA
Wakati Ulimwengu Umepatwa Na Gonjwa LA Covid 19 Gonjwa Ambalo Limesababisha Shuguli Mbalimbali Kusimamishwa Kama Matukio Na Mkusanyiko Yote Ya Kijamii Ili Kila Mtu Aweze Kufanya Shuguli Zake Mbali Na Mazoea Ya Kawaida.Wakati Huu Umepelekea Wanamuziki Wengi Kuibuka Na Mbinu Mbali Mbali Katika Njia Ya Kushangaza Kufanyia Kazi Muziki Wao. Innocent Kazera Ambaye Ni Mwimbaji Wa Injili Ya Kiume Mwenye Asili Ya Nchini Kongo Akiwa Anaishi Canada.Baadhi Ya Nyimbo Ambazo Ameshatoa Ni Pamoja Na Jerusalem, Nashukuru Na Tiens Moi La Kuu. Hivi Sasa Innocent Ambaye Anatumia Lugha Tatu Katika Mzuiki…
Read MoreMkuu Wa Wilaya Ya Nyasa Kutatua Changamaoto Ili Kuongeza Ufaulu Kwa Wanafunzi
MKUU wa Wilaya ya Nyasa Bi Isabela Chilumba leo amefanya ziara ya kikazi katika Shule ya Sekondari ya Limbo, iliyopo Kata ya Kilosa, na Shule ya Sekondari ya Mbamba bay Iliyopo, Kata ya Mbamba bay wilayani hapa.Ziara hiyo ina lengo la kutatua changamoto katika shule zote za Sekondari Wilayani hapa, ili kuongeza Ufaulu wa wanafunzi wa Kidato Cha Nne na kuwapongeza Walimu wa Sekondari ya Mbamba bay, kwa kufaulisha vizuri wanafunzi wa Kidato cha Sita.Bi Chilumba amefafanua kuwa anachohitaji ni kuona wanafunzi wa Kidato cha nne wanafaulu kama wale wa…
Read MoreNEC yamuidhinisha Shibuda kugombea Urais 2020
Leo August 25,2020 NEC imemteua John Shibuda kuwa mgombea wa Urais wa Tanzania na Hassan Kijogoo kuwa mgombea wa Kiti cha Makamu wa Rais wa chama cha ADA-TADEA. Zoezi hilo limefanywa na Mwenyekiti wa NEC Jaji Mstaafu Semistolces Kaijage kwenye ofisi za NEC Dodoma
Read MoreRPC MKOA WA SINGIDA AFANYA MKUTANO NA VIONGOZI WA DINI KUHUSU UCHAGUZI MKUU
KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Singida, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Sweetbet Njewike ametoa rai kwa wananchi wa mkoa huo kujiepusha na makundi yanayolenga kuleta uvunjifu wa amani katika kipindi cha uchaguzi.Kamanda Njewike alitoa rai hiyo jana alipokutana na viongozi wa dini mkoani hapa na wadau wengine katika makundi mbalimbali kwenye kikao kilichofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Mafunzo ya Ufundi Veta. Aliyataka makundi mbalimbali yakiwemo ya Vijana kutojiingiza kwenye makundi yanayolenga kuleta uvunjifu wa amani katika kipindi cha kampeni,wakati wa zoezi la kupiga kura na matokeo kwani jeshi la…
Read MoreTume ya Uchaguzi yaweka wazi ratiba ya urejeshaji fomu
Leo August 25, 2020 ratiba ya kurejeshaji fomu za Uteuzi kwa Wagombea Urais na Makamu wa Rais katika Ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Dodoma imetolewa inayoonesha muda wa Vyama vyote kurejesha fomu
Read MoreNEC yamuidhinisha Dkt.John Pombe Magufuli kuwa mgombea wa kiti cha Rais wa Tanzania kupitia CCM
Mwenyekiti wa NEC Jaji Mstaafu Semistolces Kaijage kwa mamlaka aliyopewa amemteua Dkt. Magufuli kuwa mgombea wa Kiti cha Urais na Mama Samia kuwa mgombea wa kiti cha Makamu wa Rais kupitia CCM na kukabidhiwa seti za fomu na nyaraka muhimu kuwa kumbukumbu kwao. Hayo yamejiri leo katika Ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi zilizopo Jijini Dodoma mara tu baada ya Rais Magufuli na mgombea mwenzake kurudisha fomu za uteuzi kutoka NEC na kuonekana kuwa wanazo sifa za kugombea kupitia CCM. Katika safari yake ya kutafuta wadhamini, Rais Magufuli amepata…
Read More