CITY TYCOON :MSANII KUTOKA UGANDA MWENYE NDOTO YA KUMFIKIA MEEK MILL.

City Tycoon Ni Moja Ya Msaani Wa Kizazi Kipya Kutoka Nchini Uganda Ambaye Makazi Yake Huko Nchini Marekani Ambapo Ndio Ameamua Kufanya Shughuli Zake Za Kimuziki.

City Tycoon Mpaka Kuamua Kufanya Muziki Moja Ya Watu Walimvutia Zaidi Ni Pamoja Na Rapa Meek Mill Ambaye Ni Msanii Anayemkubali Sana Kutoka Nchini Marekani.

Lakini Pia City Tycoon Ameanza Rasmi Kuwa Na Msimamo Katika Muziki Wake Mwanzoni Mwa Mwaka Huu Baada Ya Kumaliza Masomo Yake Huku Wakati Mpaka Sasa Msanii Huyo Ana Nyimbo Tatu Alizochia Huku Akiwa Amefanya Remex Ya Wimbo Wa Harmonize Bedroom Kutoka Nchini Tanzania Pamoja Na Party After Party Ya Big Tril Kutoka Uganda.

Kwa Sasa City Tycoon Ameachia Wimbo Wake Mpya Unaoitwa Tebatusobola Kufurahia Wimbo Huo Unaweza Kujiunga Kupitia Chaneli Yake Ya Youtube City Tycoon Kwaajili Ya Kufurahia Zaidi Kazi Zake,Vile Vile Unaweza Kumfuata Kupitia Ukurasa Wake Wa Instagram @Cit_Tycoon .

Related posts