Rais Magufuli kumpa kazi Lissu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli akiwa kwenye kampeni Mkoani Singida amemuahidi kazi ndogo mgombea Urais kutokea Singida.

“Ninawaambia ndugu zangu wa Ikungi hatuchagui sura bali tunachagua maendeleo, najua kuna mgombea anatokea hapa, mwambieni tu, tutampa kura Magufuli yeye tutampa kazi ndogo ndogo, si lazima wote tuwe Rais, mwambieni nimesema nitampa kazi” JPM

Related posts