Aliyewasaidia Wanyarwanda wakati wa Mauaji ya Kimbari akamatwa

Leo September 1, 2020 Taarifa kutokea nchini Rwanda zinasema Paul Rudesabaginaambaye aliwasaidia Wanyarwanda wengi wakati wa Mauaji ya Kimbari kwa kuwahifadhi kwenye Hoteli aliyokuwa anaiongoza amekamatwa. Ujasiri wake ulisababisha kutengenezwa kwa filamu inayoelezea kisa hicho inayofahamika kwa jina la ‘Hotel Rwanda’ Paul anatuhumiwa kwa mashtaka mbalimbali yanayohusiana na makosa ya ugaidi, Mamlaka za Uchunguzi Nchini Rwanda zimeeleza kuwa wamefanikiwa kumkamata Rusesabagina kwa kushirikiana na mataifa mengine bila kuyaweka wazi. Kwa nyakati tofauti, Paul Rusesabagina amekuwa akiikosoa Serikali ya Rais Kagame kwa jinsi ilivyomaliza mgogoro uliopelekea mauaji ya mwaka 1994.

Read More

Kansela Merkel alaani waliovamia jengo la bunge

Kansela wa Ujerumani, Angela Merkel amelaani kitendo cha waandamanaji wanaopinga hatua za kudhibiti kusambaa kwa maradhi ya COVID-19, kulivamia jengo la bunge na kukiita kitendo hicho cha ”aibu” akisema wametumia vibaya haki yao ya kuandamana kwa amani. Mamia ya watu walijaribu kulivamia jengo la bunge wakati wa maandamano hayo Mjini Berlin siku ya Jumamosi. Akizungumza na waandishi habari, Msemaji wa Merkel, Steffen Seibert amesema haki muhimu ya kuandamana kwa amani, imekiukwa na waandamanaji. Polisi inakadiria kuwa watu 38,000 walikusanyika mjini Berlin kupinga hatua zilizowekwa kukabiliana na virusi vya corona kama…

Read More

Polisi mkoani mbeya kusimamia Amani wakati wa kampeni za uchaguzi

Kamanda wa jeshi la polisi mkoani mbeya Urich Matei amesema askari polisi ndani ya mkoa huo wako imara kusimamia amani wakati huu wa kampeni za uchaguzi mkuu pamoja na uchaguzi wenyewe. Akizungumza kwa njia ya simu Matei amesema kupitia Elimu ya usalama waliyoifanya ikiwamo kuyashirikisha makundi yote ya vijana pamoja na wazee ni maandalizi tosha ya kukabiliana na wale wote watakaojaribu kuvuruga amani ya ndani ya mkoa huo Aidha kamanda Matei amewasisitiza wadau wote wauchaguzi kuzingatia sheria na miongozo yote ya uchaguzi kama inavyoelekeza ili kuepusha uwepo wa changamoto zisizo…

Read More

Maonyesho ya 15 ya Elimu ya vyuo vikuu Tanzania kuleta mabadiliko ya kiuchumi na Maendeleo

Kuanza Maonyesho ya 15 ya Elimu ya vyuo vikuu Tanzania katibu mkuu wa TCU profesa Chalres Kihampa amesema dhima ya Maonyesho ya mwaka huu Ni kuhakikisha teknolojia mbalimbali za vyuo vya elimu ya juu hapa nchini zinatumika kikamilifu katika kuleta mabadiliko kiuchumi na maendeleo . Kihampa ameongeza kutokana na ukuaji na uwepo wamabadiliko ya teknolojia ulimwenguni kwa sasa pamoja na uhitaji wa watalamu wa teknolojia hizo ni matarajio yao kuona vyuo vinazalisha watalamu wa kutosha kuendana na ulimwengu wa sasa . Kaulimbiu ya maonyesho haya kwa Mwaka 2020 Ni “Nafasi…

Read More

Maandamano dhidi ya vitendo viovu vya polisi yanaendelea nchini Marekani

Maandamano dhidi ya vitendo viovu vya polisi yanaendelea nchini Marekani katika miji ya Kenosha naPortland ambapo mtu mmoja aliuawa katika makabiliano kati ya waandamanaji wa vuguvugu la watetezi kwa mtu mweusi Rais wa marekani anaendelea kuwataka raia kuheshimu sheria na amewashutumu maafisa wa miji hiyo kwa kuruhusu machafuko Portland imekuwa kitovu cha maandamano dhidi ya ukatili unaotekelezwa na polisi na ubaguzi wa rangi tangu kutokea kwa mauaji ya George Floyd mmarekani mweusi huko Minneapolis mnamo mei 25 na kusababisha ghadhabu nchini humo na hata kimataifa Trump anatarajia kuzuru mji wa…

Read More

Maelfu waandamana katika mji mkuu Belarus licha ya ukandamizaji

Maelfu ya wafuasi wa upinzani waliandamana jana mjini Minsk wakidai kumalizika kwa utawala wa kiongozi wa kiimla wa Belarus Alexander Lukashenko wakati kukiwa na ulinzi mkali na licha ya watu kadhaa kukamatwa. Maandamano ya Belarus yameingia wiki ya tatu tangu kufanyika uchaguzi wa rais wa Agosti 9 ambao Lukashenko alidai ushindi. Kiongozi wa upinzani Svetlana Thikanovskaya anasema yeye ndiye aliyekuwa mshindi wa kweli. Inakadiriwa kuwa zaidi ya watu 100,000 walihudhuria maandamano ya jana ambao yameelezwa kuwa makubwa kuwahi kushudiwa nchini humo tangu ilipopata uhuru kutoka kwa uliokuwa muungano wa Kisovieti.…

Read More

Paul Makonda Na Mkewe Wabarikiwa Watoto Mapacha

KUPITIA UKURASA WAKE WA INSTAGRAM MSTAAFU MAKONDA AMEANDIKA: Heshima na Mamlaka ni zako eee Mungu wa Mbingu na Nchi na kwako wewe tunalia Aba, nitaendelea kutaja ukuu wako siku zote za maisha yangu kwakua hujawahi kuniacha hata dakika moja.  Pamoja na mapito magumu na mazito lakini naiona nuru yako huku nikisikia sauti ya ROHO mtakatifu ikisema mwanangu Paul Christian Makonda nalikujua kabla sijakuumba na nikakutenga kwa kusudi langu usikubali TAA iwakayo ndani yako ikazimika. Ona sasa unavyozidi kuniheshimisha katikati ya machozi umenipatia zawadi tena itokayo kwako. Mimi nilieitwa tasa ulinipa…

Read More

Lady Gaga, Ariana Grande, BTS Wang’ara Tuzo za MTV VMA’s 2020

Lady Gaga, Ariana Grande, BTS Wang’ara Tuzo za MTV VMA’s 2020 wafanikiwa kutwaa tuzo nne kila mmoja. HII HAPA ORODHA YA WASHINDI WOTE WA TUZO HIZO: MTV Tricon AwardLady Gaga Video of the YearBillie Eilish, “everything i wanted”Eminem ft. Juice WRLD, “Godzilla”Future ft. Drake, “Life Is Good”Lady Gaga with Ariana Grande, “Rain On Me”Taylor Swift, “The Man”The Weeknd, “Blinding Lights” Artist of the YearDaBabyJustin BieberLady GagaMegan Thee StallionPost MaloneThe Weeknd Song of the YearBillie Eilish, “everything i wanted”Doja Cat, “Say So”Lady Gaga with Ariana Grande, “Rain On Me”Megan Thee Stallion,…

Read More