Jembe Habari Ya Saa Kumi leo

Muhtasari Jembe Habari SAA KUMI LEO 14.09.2018 IJUMAA Waziri Mkuu Kasim Majaliwa amesema Rais John Magufuri katika kipindi chake cha Miaka Mitatu ya uongozi amefanikiwa kuimarisha Nidhamu,uadilifu uwajibikaji ndani ya utumishi wa Umma   Bondia mtanzania Hassan Mwakinyo aliyeibuka na ushindi ndondi baada ya kumchapa mpinzani wake raia wa Uingereza Sam Eggington, amepata mwaliko rasmi katika Bunge la Tanzania, hii leo   Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Nchini (TAKUKURU) imewataka aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili Klabu ya Simba, Zacharia Hans Pope na Frankline Lauwo kujisalimisha katika ofisi…

Facebook Comments

Read More