YOUNG SPIT KUUPELEKA MUZIKI WA BURUNDI DUNIANI

Young Spit Ni Msanii Mwenye Asili Ya Nchini Burundi Ambaye Anafanya Muziki Wa Hiphop Na Ni Moja Kati Ya Msanii Kinda Ambaye Amevutiwa Na Wasanii Wengi Waliofanikiwa Katika Safu Ya Muziki Wa Miondoko Ya Kufoka Yaani Hip Hop Duniani Kote. Licha Ya Young Spit Kuwa Na Asili Ya Nchini Burundi Lakini Msanii Huyo Ameamua Kuchukua Uraia Wa Marekani Huku Akiwa Anaipeperusha Bendera Ya Kule Alipozaliwa Nazungumzia Nchini Burundi. Album Yake Ya Kwanza Ilitoka Mnamo Mwaka 2012 Na Album Hiyo Ilikuwa Na Nyimbo  Kama Vile  A Million Dollar Guy,Stunt Hard Na…

Read More

CITY TYCOON :MSANII KUTOKA UGANDA MWENYE NDOTO YA KUMFIKIA MEEK MILL.

City Tycoon Ni Moja Ya Msaani Wa Kizazi Kipya Kutoka Nchini Uganda Ambaye Makazi Yake Huko Nchini Marekani Ambapo Ndio Ameamua Kufanya Shughuli Zake Za Kimuziki. City Tycoon Mpaka Kuamua Kufanya Muziki Moja Ya Watu Walimvutia Zaidi Ni Pamoja Na Rapa Meek Mill Ambaye Ni Msanii Anayemkubali Sana Kutoka Nchini Marekani. Lakini Pia City Tycoon Ameanza Rasmi Kuwa Na Msimamo Katika Muziki Wake Mwanzoni Mwa Mwaka Huu Baada Ya Kumaliza Masomo Yake Huku Wakati Mpaka Sasa Msanii Huyo Ana Nyimbo Tatu Alizochia Huku Akiwa Amefanya Remex Ya Wimbo Wa Harmonize…

Read More

MSANII MMZY KUACHIA EP YAKE HIVI KARIBUNI

Mmzy Ni Msanii Wa Kizazi Kipya Kutoka Nchini Nigeria Ambaye ameamua kutoa Burudani ya Muziki, Akiwa Pia Mwandishi Mzuri Wa Nyimbo Zake  Pamoja Na Msaniimpya Chini Ya Lebo Ya Muziki Iitwayo  Kerae, Wimbo Wake Wa Kwanza Kuachia Unaitwa Miracle Lover Na Umetayarishwa Na  Beatbybean. Chini Ya Lebo Yake Mpya Na Imetoka  Mwisho Wa Mwezi Agosti 2019,Ni Wimbo Ambao Umeweza Kuleta Matokea Mazuri Kwa Msanii Huyu Katika Vyanzo Mbali Mbali Vya Habari N Ahata Kufanikiwa Kumpa Nguvu Ya Kuendelea Kutengeneza Kazi Zenye Ubora Zaidi Na Mvuto. Wakati Tukingoja Kukamilika Kwa Ep…

Read More

NATACHA:MSANII KUTOKA BURUNDI ANAYEKUJA KUITEKA BONGO FLEVA

Mshindi Wa Tuzo Mwaka 2014 Kwa Wimbo Bora Wa Kisasa Wa Uhamasishaji Wa Jadi kupitia Tamasha La Kimataifa SICA .Natacha Ngendabanka Ni Msanii Wa Kurekodi Na Mtunzi Wa Burundi, Pia Anajulikana Zaidi Kama Natacha, Ambaye Ni Moja Ya Msanii Ambaye Ameweza Kutumia Mtindo Wa Kiafrika Katika Nyimbo Zake Zote. Baadhi Ya Baadhi Ya Nyimbo Zake  Maarufu Ni Pamoja Na “Wangu” Ft Sheebah Karungi, “Duga” Ft Fally Ipupa, Mubibona Gute Na Jigijigi Ft Barnaba Kutoka Tanzania. Natacha Ni Moja Ya Msanii Bora Wa Kike Ambaye Anaipeperusha Bendera Yake Ya Kitaifa Katika…

Read More

INNOCENT KAZERA;MWIMBAJI WA MUZIKI WA INJILI KUTOKA CONGO ALIYEPATANA NA PRODUCER KUTOKA TANZANIA

Wakati Ulimwengu Umepatwa Na Gonjwa LA  Covid 19  Gonjwa Ambalo Limesababisha Shuguli  Mbalimbali Kusimamishwa Kama Matukio Na Mkusanyiko Yote Ya Kijamii Ili Kila Mtu Aweze Kufanya Shuguli Zake Mbali Na Mazoea Ya Kawaida.Wakati Huu Umepelekea Wanamuziki Wengi Kuibuka Na Mbinu Mbali Mbali  Katika Njia Ya Kushangaza Kufanyia Kazi  Muziki Wao. Innocent Kazera Ambaye Ni Mwimbaji Wa Injili Ya Kiume Mwenye Asili Ya Nchini Kongo Akiwa Anaishi Canada.Baadhi Ya Nyimbo Ambazo Ameshatoa Ni Pamoja Na Jerusalem, Nashukuru Na Tiens Moi La Kuu. Hivi Sasa Innocent Ambaye Anatumia Lugha Tatu Katika Mzuiki…

Read More

KCEE:NIGERIA BADO HATUNA MFUMO MZURI KATIKA MUZIKI WETU

Msanii Kcee Ambaye Pia Ni Moja Ya Mgurugenzi Wa Lebo Maarufu Nchini Nigeria Maarufu Kwa Jina La Five Star Music Ambayo Ilifanikiwa Kusaini Wasanii Akiwemo Harry Songs Pamoja Na Skibii Ambao Kwa Sasa Wasanii Hao Pia Wamejitoa Katika Lebo Hiyo Na Kila Mmoja Kuanzisha Safari Yake Kivyake. Licha Ya Yote Hayo Kcee Bado Ameendelea Kufanya Kazi Na Akiwa Kama Msanii Ambaye Ana Uzoefu Wa Kumiliki Lebo Na Kusimamia Wasanii Ameeleza Moja Ya Changamoto Ambayo Bado Ni Kubwa Sana Katika Muziki  Wa Nigeria Katika Kusaini Wasanii Katika Lebo. Kcee Amezungumza Hayo…

Read More

NYANDA(BRICK N’ LACE):MR P WA PSQAURE ALINIAMBIA TUNAPENDWA AFRICA.

Msanii Kutoka Nchini Jamaica Ambaye Alipata Umaarufu Yeye Pamoja Na Dada Yake Wakiwa Wanajiita Brick And Lace Kama Kundi La Muziki Kutoka Jamaica N Ahata Kufanikiwa Kufanya Vyema Na Wimbo Wao Kama Vile Love Is Wicked Na Nyingine Nyingi. Sasa Nyanda Ambaye Ni Moja Ya Msanii Kutoka Kundi Hilo Ambaye Pia Amewahi Kufanya Kazi Na Peter Wa Kundi La P Square Wimbo Uliopewa Jina La Wokie Wokie Ameweka Wazi Moja Ya Jambo Aliloambiwa Na Peter Walipokutana Kufanya Kazi Hiyo. “Nilikutana Na Mr P Kufanya Kazi Yetu Aliniambia Unajua Nynyi Mnapendwa…

Read More

CPWAA:KUNA CHANGAMOTO KWENYE BONGO FLEVA HASA KWA WASANII WA KIKE

C Pwaa Ni Moja Ya Msanii Wa Muda Mrefu Katika Kiwanda Cha Muziki Nchini Tanzania Na Moja Kati Ya Msanii Ambaye Licha Ya Kuwa Anapotea Katika Muziki Kwa Kipindi Flani Lakini Anaporejea Mara Nyingi Huja Kwa Kasi Ya Ajabu Na Muitikio Mzuri. C Pwaa Ambaye Kwa Hivi Sasa Anatarajia Kuachia Ep Yake Ikiwa Ni Miaka Sita Tangu Akae Kimya Katika Muziki ,Msanii Huyo Amezungumza Na Hitzone Ya Jembe Fm Na Kuweka Wazi Mengi Kuhusu Ujio Wake Katika Muziki Lakini Moja Na Kubwa Kuhusu Msanii Huyo Amezungumzia Nafasi Ya Wasanii Wa…

Read More