Necta yafuta matokeo ya darasa la 7 katika baadhi ya shule nchini.

Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) limetangaza kufuta matokeo ya mitihani darasa la 7 katika shule zote zilizopo wilaya za Chemba Pia baadhi ya shule wilaya ya Kondoa, Kinondoni, Mwanza jiji na Ubungo, kwa kosa la kuhusika na kuvujisha mitihani ya darasa la 7. Aidha kufuatia tukio hilo  Serikali imewasimamisha kazi maafisa elimu na taaluma wa wilaya za Chemba na Kondoa pamoja na waratibu wa elimu Walimu wakuu wa shule za msingi kutoka wilaya hizo kwa tuhuma za kuvujisha mitihani. Mitihani hiyo itarudiwa tarehe 8 na 9 mwezi huu wa…

Facebook Comments

Read More

Breaking News

Taarifa zilizotufikia hivi punde zinasema Kivuko cha MV Nyerere kinachofanya safari zake kati ya Bugorora na kisiwa cha Ukara katika ziwa Victoria kimezama muda huu, huku taarifa za idadi ya watu waliokuwemo ndani ya kivuko hicho hazijajulikana. Taarifa kamili itakuja hivi punde kaa karibu na 93.7 Jembe FM Facebook Comments

Facebook Comments

Read More

Breaking News: Baba Mzazi wa Mbunge Profesa Jay Afariki dunia.

Habari zilizotufikia hivi punde Kutoka Mikumi ni kuhusiana na Kifo cha Baba yake na Mbunge wa jimbo la Mikumi kupitia Chadema, Joseph Haule Maarufu kama Profesa jay ambacho kimetokea katika hospitali ya St Kizito iliyopo Mikumi Mkoani Morogoro. Profesa jay amethibitisha Taarifa hizo kwa  njia ya Simu, akiwa Jijini Dodoma katika vikao vya Bunge vinavyoendelea.         Facebook Comments

Facebook Comments

Read More