YOUNG SPIT KUUPELEKA MUZIKI WA BURUNDI DUNIANI

Young Spit Ni Msanii Mwenye Asili Ya Nchini Burundi Ambaye Anafanya Muziki Wa Hiphop Na Ni Moja Kati Ya Msanii Kinda Ambaye Amevutiwa Na Wasanii Wengi Waliofanikiwa Katika Safu Ya Muziki Wa Miondoko Ya Kufoka Yaani Hip Hop Duniani Kote. Licha Ya Young Spit Kuwa Na Asili Ya Nchini Burundi Lakini Msanii Huyo Ameamua Kuchukua Uraia Wa Marekani Huku Akiwa Anaipeperusha Bendera Ya Kule Alipozaliwa Nazungumzia Nchini Burundi. Album Yake Ya Kwanza Ilitoka Mnamo Mwaka 2012 Na Album Hiyo Ilikuwa Na Nyimbo  Kama Vile  A Million Dollar Guy,Stunt Hard Na…

Read More

CITY TYCOON :MSANII KUTOKA UGANDA MWENYE NDOTO YA KUMFIKIA MEEK MILL.

City Tycoon Ni Moja Ya Msaani Wa Kizazi Kipya Kutoka Nchini Uganda Ambaye Makazi Yake Huko Nchini Marekani Ambapo Ndio Ameamua Kufanya Shughuli Zake Za Kimuziki. City Tycoon Mpaka Kuamua Kufanya Muziki Moja Ya Watu Walimvutia Zaidi Ni Pamoja Na Rapa Meek Mill Ambaye Ni Msanii Anayemkubali Sana Kutoka Nchini Marekani. Lakini Pia City Tycoon Ameanza Rasmi Kuwa Na Msimamo Katika Muziki Wake Mwanzoni Mwa Mwaka Huu Baada Ya Kumaliza Masomo Yake Huku Wakati Mpaka Sasa Msanii Huyo Ana Nyimbo Tatu Alizochia Huku Akiwa Amefanya Remex Ya Wimbo Wa Harmonize…

Read More

Lady Gaga, Ariana Grande, BTS Wang’ara Tuzo za MTV VMA’s 2020

Lady Gaga, Ariana Grande, BTS Wang’ara Tuzo za MTV VMA’s 2020 wafanikiwa kutwaa tuzo nne kila mmoja. HII HAPA ORODHA YA WASHINDI WOTE WA TUZO HIZO: MTV Tricon AwardLady Gaga Video of the YearBillie Eilish, “everything i wanted”Eminem ft. Juice WRLD, “Godzilla”Future ft. Drake, “Life Is Good”Lady Gaga with Ariana Grande, “Rain On Me”Taylor Swift, “The Man”The Weeknd, “Blinding Lights” Artist of the YearDaBabyJustin BieberLady GagaMegan Thee StallionPost MaloneThe Weeknd Song of the YearBillie Eilish, “everything i wanted”Doja Cat, “Say So”Lady Gaga with Ariana Grande, “Rain On Me”Megan Thee Stallion,…

Read More

MSANII MMZY KUACHIA EP YAKE HIVI KARIBUNI

Mmzy Ni Msanii Wa Kizazi Kipya Kutoka Nchini Nigeria Ambaye ameamua kutoa Burudani ya Muziki, Akiwa Pia Mwandishi Mzuri Wa Nyimbo Zake  Pamoja Na Msaniimpya Chini Ya Lebo Ya Muziki Iitwayo  Kerae, Wimbo Wake Wa Kwanza Kuachia Unaitwa Miracle Lover Na Umetayarishwa Na  Beatbybean. Chini Ya Lebo Yake Mpya Na Imetoka  Mwisho Wa Mwezi Agosti 2019,Ni Wimbo Ambao Umeweza Kuleta Matokea Mazuri Kwa Msanii Huyu Katika Vyanzo Mbali Mbali Vya Habari N Ahata Kufanikiwa Kumpa Nguvu Ya Kuendelea Kutengeneza Kazi Zenye Ubora Zaidi Na Mvuto. Wakati Tukingoja Kukamilika Kwa Ep…

Read More

NATACHA:MSANII KUTOKA BURUNDI ANAYEKUJA KUITEKA BONGO FLEVA

Mshindi Wa Tuzo Mwaka 2014 Kwa Wimbo Bora Wa Kisasa Wa Uhamasishaji Wa Jadi kupitia Tamasha La Kimataifa SICA .Natacha Ngendabanka Ni Msanii Wa Kurekodi Na Mtunzi Wa Burundi, Pia Anajulikana Zaidi Kama Natacha, Ambaye Ni Moja Ya Msanii Ambaye Ameweza Kutumia Mtindo Wa Kiafrika Katika Nyimbo Zake Zote. Baadhi Ya Baadhi Ya Nyimbo Zake  Maarufu Ni Pamoja Na “Wangu” Ft Sheebah Karungi, “Duga” Ft Fally Ipupa, Mubibona Gute Na Jigijigi Ft Barnaba Kutoka Tanzania. Natacha Ni Moja Ya Msanii Bora Wa Kike Ambaye Anaipeperusha Bendera Yake Ya Kitaifa Katika…

Read More

INNOCENT KAZERA;MWIMBAJI WA MUZIKI WA INJILI KUTOKA CONGO ALIYEPATANA NA PRODUCER KUTOKA TANZANIA

Wakati Ulimwengu Umepatwa Na Gonjwa LA  Covid 19  Gonjwa Ambalo Limesababisha Shuguli  Mbalimbali Kusimamishwa Kama Matukio Na Mkusanyiko Yote Ya Kijamii Ili Kila Mtu Aweze Kufanya Shuguli Zake Mbali Na Mazoea Ya Kawaida.Wakati Huu Umepelekea Wanamuziki Wengi Kuibuka Na Mbinu Mbali Mbali  Katika Njia Ya Kushangaza Kufanyia Kazi  Muziki Wao. Innocent Kazera Ambaye Ni Mwimbaji Wa Injili Ya Kiume Mwenye Asili Ya Nchini Kongo Akiwa Anaishi Canada.Baadhi Ya Nyimbo Ambazo Ameshatoa Ni Pamoja Na Jerusalem, Nashukuru Na Tiens Moi La Kuu. Hivi Sasa Innocent Ambaye Anatumia Lugha Tatu Katika Mzuiki…

Read More

#InstaChocho: “Mama Wawili, Mume Wa Tatu”-Esma Platnumz

HAKIKA hakuna ambaye hakutoa Neno “Hongera” kwa Esma Platnumz ambaye ni Dada Yake na Msanii Wa Bongo Fleva Nchini Tanzania, Diamond Platnumz, baada ya Kubaini kuwa hati maye amefunga Ndoa Tayari na anafurahia maisha hayo Mastaa Wengi sana Nchini tanzania katika Tasnia tofauti za Burudani, hawakusita kumpongeza katika Ukurasa wake wa Instagram baada ya Bibi Esma mwenyewe kudhihirisha kuwa tayari “Pilau” na “Vifijo” tayari vimeshahusika. Ingawa Wengi tulikuwa tukiyafahamu mahusiano yake na mzazi mwenzake “Petiti Man-Wakuache”, Mwanaume aliyefunga Naye ndoa ni mwingine kabisa ambaye wengi hawakudhani na wala hawakuwa wakimfahamu…

Read More

Rapper Jim Jones Achukizwa na Gharama Hii ya Toilet Papers alipoenda Super Market

NCHINI Marekani na baadhi ya Mataifa Mengine huko Ughaibuni, kumekuwa na malalamiko ya kupanda kwa Bei ya “Toilet Papers” katika Super Markets mbali mbali tangu kuwepo kwa maambukizi ya Virusi vya COVID 19 ambavyo husababisha Ugonjwa wa Corona. Katika Mataifa hayo, Baadhi ya Wananchi wamekuwa wakilalamikia sana Bei ya Toilet papers ambayo ilifikia USD 10 sawa na Tsh 23,160/- huku baadhi wakishindwa kabisa kufanya manunuzi ya Bidhaa hizo kwa ajili ya matumizi ya familia na hiyo ni kutokana na kipato chao. Rapper Mkongwe katika Soko la Muziki wa Hip Hop,…

Read More