Kauli ya EDDY KENZO kuhusu “kuchepuka” na Msanii wake PIA POUNDS

TAARIFA za Msanii Eddy Kenzo kutokea Nchini Uganda, kuchepuka na wanawake kadhaa zimekuwa zikienea mara kwa mara huku yeye mwenyewe akiangalia namna ya kuzipangua ili kuilinda Ndoa yake na Msanii Rema Namakula Kuwepo kwa fununu kadha wa kadha za Msanii huyo kutokuiheshimu ndoa yake na kufanya masuala ya usaliti, yalisababisha kuwepo na majibizano baina ya Eddy Kenzo na Mkewe Rema katika mitandao ya kijamii, hali ambayo imetafsiriwa kuwa huenda wawili wakawa katika wakati mgumu. Sasa hivi karibuni, kumeibuka taarifa nyingine kuwa Hitmaker huyo wa “PULL UP” yupo katika mahusiano ya…

Facebook Comments

Read More

#RIPPanchoLatino : VANESSA MDEE – “Utaishi Milele Katika Muziki”

VANESSA MDEE ni moja kati ya wasanii wengi waliopitia katika Mikono ya Producer Pancho Latino ambaye Hatuko naye tena katika Ulimwengu huu, pigo kubwa ambalo tasnia ya muziki imelipata mpaka hivi sasa Akiwa bado chini ya B-HITZ pamoja na wasanii wenzake kadha wa kadha akiwemo Mabeste, M-Rap Lion, Deddy, Gosby na wengineo, Vanessa anakiri kuwa alipata vitu vingi vya kujifunza kutoka kwa Marehemu Pancho Latino “Latino Mafia” na bado atabaki navyo hasa akizidi kujivunia kuvifahamu Ukiachilia mbali kufanya naye kazi tu, Vanessa na Pancho Latino walikuwa ni marafiki wazuri ambapo…

Facebook Comments

Read More

CHEMICAL : “Nilianza KUIMBA kabla ya KU-RAP”

KUPITIA Mkwaju wake wa “Sielewi” wengi tulibaini kipaji kingine cha Ku-rap kutoka kwa Binti ambaye alikuja vizuri na kila mtu kumpokea katika Mtanzamo Chanya kabisa..na hapa tunamzungumzia CHEMICAL  a.k.a “mwana wa Lubao” ambaye bado anazidi kupambana kuhakikisha kuwa jina lake na kazi zake zinaendelea kuwa katika platform nzturi Hivi sasa Chemical anafanya vizuri sana na mkwaju wake mpya ambao umepewa jina la TILALILA huku humo ndani akionekana kubadilika katika style yake ya ku-rap ambayo wengi tumeizoea kwa asilimia kubwa, yaani humo ndani ameimba, kitu ambacho wengi hawakutarajia kama kweli Chemical…

Facebook Comments

Read More

RITHA KAGGWA KWA EDDY KENZO : “Nilikupa Hifadhi Nyumbani Kwangu”

VITA ya kurushiana maneno baina ya Msanii kutoka nchini Uganda Eddy Kenzo na Blogger Ritha Kaggwa ambaye makazi yake ni Nchini Uingereza inazidi kuchukua nafasi yake katika mitandao ya kijamii, hali ambayo imeanza kupelekea mpaka kufichuliana siri ambazo hatukuwa tukizifahamu PICHA LILIANZA HIVI…. Mnamo October 6, Blogger huyo Ritha Kaggwa, alipost taarifa kupitia “Facebook Fan Page” yake, ambayo ilikuwa ikimtuhumu Eddy Kenzo kumtelekeza mke wake Remma Namakulah (ambaye pia ni msanii) pamoja na mtoto wao, na kukimbilia Nchini Marekani ambako inasadikika kuwa alikuwa akiishi na mwanamke mwingine anayeitwa SALMA Taarifa…

Facebook Comments

Read More

AMBER LULU kaweka wazi Kuhusu MBOSSO – “Bila Wewe Ningebakwa”

  KATIKA Birthday ya Msanii kutoka WCB, Maromboso a.k.a MBOSSO, wishse zilikuwa ni nyingi sana na mpaka hivi sasa bado zinazidi kumiminika “kama Zote”, na hii ikiwa ni ni nia ya kuashiaria kuwa kijana kaongeza umri mpya lakini pia mashabiki na marafiki wengi wana hamu ya kumuona akizidi kuvuta pumzi na kuendelea kuipeperusha bendera ya Tanzania katika soko la Muziki kimataifa   Ukiachilia mbali wengi waliozungumza mengi katika Siku ya kuzaliwa ya Hitmaker huyu wa ” WATAKUBALI” ambaye hivi sasa anasumbua na “mkwaju” wake wa HODARI, Amber Lulu amamua kutufahamisha…

Facebook Comments

Read More

ANDREAS BATHORY : “Tunakunywa Damu ya BINADAMU na Kulala ndani ya Majeneza”

ANDREAS BATHORY ni Raia wa Nchi ya Romania ambaye ameendelea kuushangaza ulimwengu kuwa yeye ni miongoni mwa “Vampires” ambao wanaishi katika maisha ya uhalisia, lakini hunywa Damu na kulala katika majeneza wakiamini kuwa hali hiyo imebadilisha maisha yao kiujumla. Kijana huyo ambaye mpaka hivi sasa anaishi katika misingi hiyo, hawezi kukuelewa kabisa utakapomwambia kuwa viumbe aina ya “vampires” walitokana na Fikra za watu ambao hufanya masula ya filamu, badala yake atakuambia kuwa viumbe hao walikuwepo na bado wapo mpaka hivi sasa, ndio maana wanaishi maisha hayo Bathory ambaye mpaka hivi…

Facebook Comments

Read More

WILLY PAUL na BAHATI Wanatuhumiwa kutokuwalipa “Video Vixens”

TATIZO hili la kukwepa kutimiza haki za Warembo wanaotumika katika Video za wasanii mbali mbali (Video Vixens/Video Queens) katika malipo yao, zilikuwa zikiwaandama wasanii kadha wa kadha wa Tanzania kwa asilimia kubwa, lakini kumbe hata nchini Kenya, kuna majina makubwa ya wasanii ambao huwanyima pesa zao warembo hao Msanii wa Gospel Nchini Kenya WILLY PAUL na mwenzake BAHATI , wameingia katika kashfa ya kutokuwalipa Video Vixens ambao wanafanya nao kazi, licha ya kwamba video zao huwa zinafanikiwa na wao kuvuna pesa nyingi sana Mmoja kati ya Warembo hao, ambaye uvumilivu…

Facebook Comments

Read More

HAMISA MOBETO : “Nilimuonea Huruma Diamond,Sikuwa na Uwezo wa Kumsaidia”

“MADAM HERO” Hamisa Mobeto bado yuko Nchini Kenya na Siku ya Kesho atakuwa na shughuli ya “mkwanja” huko huko akionesha kupambana kama ambavyo alituambia kupitia Track yake ya “Madam Hero” Kama ambavyo unafahamu, Hamisa ameshaamua kufunguka kila anapoulizwa kuhusu Maisha yake na Diamond Platnumz ambaye ni mzazi mwenzake kwa hivi sasa, Ugomvi wao, Masuala ya Ushirikina na kadhalika, tofauti na siku chache hapo nyuma baada ya ishu za kumroga hitmaker huyo wa “iyena” zianze kuzagaa.   Akiwa Nchini Kenya, Hamisa ameweka wazi kama pengine kuna kitu ambacho kilimvutia kwa Diamond…

Facebook Comments

Read More

BOBI WINE : “Nimekuja Kuendeleza Nilipoishia…Nipo Tayari kufa kwa sababu ya Uhuru Wetu “

BOBI WINE Tayari Yupo Nchini Uganda na licha ya kwamba Jeshi la Polisi lilijitahidi kuweka ulinzi wa kutosha ili wafuasi wake wasiandamane katika mapokezi yake, bado kulikuwa na makundi ya watu ambao yaliwapa wakatik mgumu polisi pamoja na vyombo vya usalama Nchini humo Kuna vitu VITANO vya Msingi ambavyo tumevinyaka katika Siku ya jana ambayo “waganda” wengi waliiona kuwa siku ambayo “inadamshi” kulingana na hali halisi, lakini pia macho na masikio yote yalikuwa makini kujua ni kitu gani kitatokea. MATUMIZI YA “FIMBO” KWA WANACHI WALIOKIUKA Wananchi na Wafuasi ambao kwa…

Facebook Comments

Read More

Hatimaye Ex wa Kaligraph Jones, CASHY amempata Shujaa Mpya anayeifanya Roho yake Kuwa Mpya …Huyu Hapa !!!!

“MICASA SUCASA” ni moja kati ya “mkwaju” ambao ulitambulisha Rasmi mahaba mazito yaliyokuwepo baina ya Rappers wawili kutoka nchini Kenya, na hapa tunamzungumzia KALIGRAPH JONES “Papa Jones” pamoja na Bibie CASH Mahaba hayo yaliendelea kuchukua nafasi kubwa katika vyombo mbali mbali vya habari na hasa katika Mitandao ya kijamii kutokana na namna ambavyo walikuwa wakionekana kupendana na hata ukaribu wao kiujumla, kama mnavyojua mahaba yakinoga wazee wa kazi !!!! Lakini baada ya Muda kadhaa, hakukuwa tena na taarifa za kuzungumzia mahusiano yao ya kimapenzi, na hata Kaligraph alipokuwa akiulizwa kuhusu…

Facebook Comments

Read More