AUA MWANAYE KWA MPINI WA JEMBE AKIMTUHUMU KUIBA KUKU.

  Polisi mkoani Manyara wanamshikilia mwanamke mmoja Mariam Daudi kwa tuhuma za kumuua mwanaye kwa madai ya kuiba njiwa wa jirani. Mwanamke huyo mkazi wa Komoto wilaya ya Babati mkoani humo anadaiwa kumuua mwanaye Emanuel Justine (11) mwanafunzi wa darasa la tatu katika shule ya msingi Kwang’w. Kamanda wa polisi mkoani humo Augustino Senga alisema mwanamke huyo siku ya tukio alipokea taarifa kuwa mwanaye aliiba njiwa za jirani. Baada ya kupokea taarifa hizo alimkamata mwanaye kwa kushirikiana na anayedaiwa kuiba njiwa kisha kumfunga kamba mikono na miguu kisha kuanza kumcharaza…

Facebook Comments

Read More

Meneja wa jembe Fm Mr Fredy Kikoti ametangaza rasmi jembe Fm kuwasha mitambo ktk mikoa ya kanda ya ziwa.

Meneja wa jembe Fm Mr Fred Kikoti ametangaza rasmi jembe Fm kuwasha mitambo ktk mikoa ya kanda ya ziwa. Ameeleza pia kuhusu Jembeka Festival. “swala la #Jembekafestival kila kitu kipo tayari ,kulikuwa na changamoto ya sound na steji lakini sasa tunavyo hivyo tutawatangazia tarehe husika” Akaongeza kwa kusema “watu wamekuwa wanaomba @jembefm tufanye #Jembekafestival na Jembeka campus jam sasa ,,hivyo natangaza rasmi tunaanza na Jembeka campus jam kisha Jembeka festival” Lakini pia Amefungua rasmi tamasha la Jembeka Campus Jam, litakaloshirikisjha wanafunzi wa vyuo vyote vilivyopo jijini Mwanza. “Jembeka Campus jam…

Facebook Comments

Read More

ZARI kakutana na “Mabango Kama Yote !!” …kisa amempost Rais Museveni !!

SIKU ya Leo Nchini Uganda, ni maadhimisho ya Miaka 56 tangu wapate Uhuru wa Nchi yao, hali ambayo imepokelewa na kusherehekewa vizuri na Raia wa Uganda, huku pongezi tele zikimiminwa kwa Serikali ya Uganda kwa kufikisha miaka hiyo waki Huru bila kutawaliwa na Nchi au mataifa mengine. Bobi Wine ni moja kati ya watu ambao walitazamwa sana katika kufahamu ni kipi ambacho atakipost ama atakizungumza kuhusiana na Maadhimisho hayo ambaye naye hakusita kuandika katika ukurasa wake wa Instagram kuhamasisha vijana na kizazi cha sasa hivi, kutafuta njia mbadala hasa baada…

Facebook Comments

Read More

ALIYEWAHI KUWA RAISI WA CHAMA KIKUU CHA UPINZANI ABWAGA MANYANGA AANZISHA CHAMA CHAKE

Aliyewahi kuwa rais wa chama kikuu cha upinzani nchini Uganda cha FDC, Jenerali Mugisha Muntu amekihama rasmi chama hicho na kutangaza kwamba ataanzisha chama kipya hivi karibuni. Hatua hiyo ya Muntu inafuatia kushukiwa na baadhi ya wanachama wa FDC, kuwa pandikizi la chama tawala. Shutuma hizo amezikanusha vikali. Facebook Comments

Facebook Comments

Read More

Update kutoka Ukara: MV Nyerere

Jitihada za kukiinua kutoka kwenye maji kivuko cha feri ya mv Nyerere zinaendelea ambapo hadi sasa kivuko hicho kimeripotiwa kuanza kuibuka hasa upande wa mbele. #Updatekutoka ukara Facebook Comments

Facebook Comments

Read More

RAISI MAGUFULI KUZINDUA BARABARA YA KIHISTORIA NCHINI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Mafuguli anatarajiwa kuizindua rasmi barabara ya juu ya Tazara leo hii . Barabara hiyo ni ya kwanza ya juu katika historia ya Tanzania , inayounganisha maeneo muhimu ya kiuchumi katika jiji la Dar es Salaam ikiwa ni pamoja na uwanja wa ndege wa Julius Nyerere, Bandari na hata barabara inayoelekea Viwandani. Facebook Comments

Facebook Comments

Read More

MCHEKESHAJI BILL COSBY KWENDA GEREZANI KWA UBAKAJI

Bill Cosby Mcheshi nguli Bill Cosby raia wa Marekani huenda akakaa gerezani kwa muda wa miaka 3 – 10 kwa ubakaji . Cosby ameshtakiwa kwa dhuluma za kimapenzi dhidi ya bi Andrea Constand mfanyikazi wa chuo kikuu kimoja nchini Marekani. Kosa hilo yamkini lilifanyika mwaka wa 2004. Bi Andrea aliishawishi mahakama kuwa Cosby alimpa dawa aina ya Quaaludes ambayo ilimlegeza na hakuweza kumzuia kumbaka mwaka wa 2004. Facebook Comments

Facebook Comments

Read More

MHUDUMU wa Ndege alipofukuzwa Kazi mara baada ya kufanyiwa “suprise” ya Kuvalishwa PETE YA UCHUMBA mbele ya Abiria

FURAHA kubwa kwa Mhudumu wa Ndege nchini China linalofahamika kwa jina la CHINA EASTERN AIRLINES, ilikuwa ni baada ya kufanyiwa “suprise” na mpenzi wake na kuvalishwa pete ya uchumba mbele ya Abiria na Wafanyakazi wenzake , lakini furaha yake imekuja kugeuka ndivyo sivyo Mnamo Mwezi May 2018, ilisambaa video Clip ikimuonesha Mhudumu huyo wa Kike katika Ndege hiyo ambayo ilikuwa ikifanya safari zake kutoka  Xi’an kuelekea Yinchuan, akifurahia baada ya kuvalishwa pete ya Uchumba na Boyfriend wake huyo ambao wamekuwa katika Mahusiano ya kimapenzi kwa Takriban Miaka Minne huku akikamilisha furaha…

Facebook Comments

Read More

MIKONONI MWA POLISI KWA TUHUMA ZA KUMPA UJAUZITO BINTI YAKE

Jeshi la Polisi Mkoa wa  Mjini Magharibi Zanzibar, linamshikilia  Muhammed Juma Muhammed kwa tuhuma za kumpa ujauzito  binti yake wa kambo mwenye umri wa chini ya miaka 18. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi Thobias Sedeyoka, amekiri kuzipata taarifa hizo ingawa kwasasa yupo katika likizo ya kikazi. Taarifa za kitendo hicho zilijulikana baada ya jeshi la  polisi kupewa taarifa na sheha wa Shehia ya Kijichi, Simba Ally Makame ambaye alipewa taarifa hizo na vijana wanaoshiriki ulinzi shirikishi. Baada ya kukamatwa na kuwekwa chini ya ulinzi katika Kituo cha Polisi…

Facebook Comments

Read More

Meneja wa Jembe ni Jembe Group, Akimpokea aliekuwa Mkuu wa wilaya Nyamagana

Ilikuwa ni siku muhimu sana kupata ugeni wa aina yake. Ni furaha yetu, kuona Viongozi mbalimbali wakijumuika nasi. nawe usibaki Nyuma, Jumuika nasi kila siku. Facebook Comments

Facebook Comments

Read More