WMO Wathibitisha Kuwa Viwango vya Joto Vinapanda

Shirika la Umoja wa Mataifa la Hali ya Hewa duniani, WMO limesema ongezeko la viwango vya joto ni ishara ya wazi ya mabadiliko ya tabia-nchi ya muda mrefu, huku wakifafanua kuwa miaka minne iliyopita viwango vilikuwa vya kipekee. WMO katika taarifa imesema miaka katika ya 2015, 2016, 2017 na 2018 kumekuwa na Joto Kubwa na hiyo ni ishara ya wazi kuwa mabadiliko ya tabia-nchi yanaendelea. Akizungumzia mwenendo wa hali ya hewa, Katibu Mkuu wa WMO, Petteri Taalas amesema mwenendo wa muda mrefu ni muhimu kuliko uchunguzi wa mwaka mmoja mmoja na…

Facebook Comments

Read More

KUNGUNI WAFUNGA MAHAKAMA !

MAHAKAMA ya jimbo la ROGERS, Oklahoma Nchini Marekani, imelazimika kusitisha Shughuli za Kimahakama baada ya kubainika kwa Kunguni ndani ya Mahakama Hiyo Kunguni hao walionekana wakidondoka kutoka katika Moja ya Vazi la Mwanasheria aliyekuwa katika Mahakama hiyo wakati shughuli za kimahakama zikiendelea, hli iliyosababisha Uongozi kuchukua Jukumu la kufunga mahakama mpaka hali itakapokuwa Sawa. Akifafanua kuhusu hali hiyo, Mmoja wa Viongozi katika utawala wa Jimbo hilo ambaye pia alipewa jukumu la kutoa ufafanuzi juu ya hatua hiyo, SCOTT WALTON ameweka bayana kuwa mwanasheria huyo alifika katika Ghorofa ya Tatu ambako…

Facebook Comments

Read More

RAIS WA SUDAN : ” MILANGO IKO WAZI KWA WAANDAMANAJI KUFANYA MAZUNGUMZO”

Rais Omar al-Bashir wa Sudan amesema mlango wa mazungumzo utaendelea kuwa wazi kwa waandamanaji vijana ambao wanaingia mitaani kuandamana kwa Madai ya hali mbaya ya uchumi na kutumia mgogoro wa Sudan Kusini kama chanzo kikuu cha mgogoro wa kiuchumi nchini Sudan. Al-Bashir amebainisha kuwa, Mgogoro wa Sudani Kusini ni sababu kubwa ya kuzorota kwa uchumi wa Sudan. Sudan imekuwa ikisumbuliwa na migogoro katika historia yake licha ya makubaliano ya amani uliosainiwa mwaka 2015. Serikali za kusini zilisalia na kuunda Jamhuri ya Sudan Kusini mwaka 2011. Tangu Desemba 19 mwaka 2018,…

Facebook Comments

Read More

JAJI MARAGA akutana na “Kaa La Moto” baada ya Kutoa Salamu za Pole kuptia Twitter !

Baadhi wa Wakenya wamemkemea vikali Jaji Mkuu (CJ) David Maraga kuhusiana na kuachiliwa huru kwa washukiwa wa ugaidi wanaoshukiwa kuhusika na shambulio la 2013 Westgate lililosababisha vifo vya watu 71. Raia hao wa Kenya ambao bado wapo katika Majonzi mazito kuhusu uvamizi uliotokea Jumatano, Januari 15, katika Hoteli ya DusitD2,  wamemshambulia Jaji Maraga kwa madai ya kukosa kutoa uongozi unaofaa katika idara ya Mahakama Hasira za Wakenya kupitia Twitter zilijiri baada ya Maraga kutuma ujumbe wa pole kwa walioathirika kwa njia moja au nyingine kufuatia shambulio la eneo la 14…

Facebook Comments

Read More

MAANDAMANO yaibuka Nchini TUNISIA

Muungano mkubwa zaidi wa wafanyakazi nchini Tunisia UGTT umesema mgomo wa nchi nzima wa watumishi wa umma Zaidi ya LAKI MOJA umeanza hii leo Alhamisi. Mgomo huo ni wa kushinikiza serikali ya Tunisia iwape nyongeza ya mishahara wafanyakazi wa umma wapatao laki sita na 70 elfu. Mgomo huo umeathiri zaidi huduma katika viwanja vya ndege, mashule na hata shirika la habari la serikali. Mgomo huo wa wafanyakazi wa serikali umeanza katika hali ambayo, Tunisia kwa siku kadhaa sasa imekuwa ikishuhudia maandamano ya wananchi wakilalamikia utendaji wa serikali na hali mbaya…

Facebook Comments

Read More

JEMBE HABARI – 19/10/2018

Facebook Comments

Facebook Comments

Read More

Ijumaa ya tarehe 28.09.2018 karibu kusikiliza taarifa ya Habari jioni hii na Elikana Mathias

Facebook Comments

Facebook Comments

Read More

Karibu kusikiliza Jembe Habari Saa moja Jioni ya leo tarehe 27.09.2018, Alhamis

Facebook Comments

Facebook Comments

Read More

Karibu Kusikiliza Taarifa ya Habari ya Jembe Fm hii leo saa moja jioni, Jumatano 26.09.2018

Facebook Comments

Facebook Comments

Read More

ABIRIA AIRPORT MWANZA KUANZA KULIPIA ULINZI

  Mamlaka ya Viwanja vya Ndege #Tanzania (TAA) kuanzia Oktoba Mosi itaanza kutoza tozo ya ulinzi TZS 11,425 ($5) kwa wasafiri wa nje, na 4,570 ($2) kwa wasafiri wa ndani ili kuimarisha ulinzi na usalama katika viwanja vikubwa. Hatua hiyo imekosolewa kuwa, huenda ikapunguza wateja. Facebook Comments

Facebook Comments

Read More