Hii Ndiyo Sababu Ya AMBER ROSE kuwa na Mahusiano na Wanaume MAARUFU.

KAMA utakuwa umefuatilia Mtiririko wa Mahusiano ambayo AMBER ROSE amekuwa nayo hasa kwa wanaume tofauti tofauti, Wengi wao ni Watu Maarufu, na huo ndio umekuwa utaratibu wake katika maisha yake ya kimahusiano. Akifafanua Vizuri kuhusu sababu ya Yeye kufanya hivyo, Amber Rose ambaye ni mama wa Mtoto Mmoja, SEBASTIAN “THE BASH” aliyempata na aliyekuwa mumewe wa Ndoa, WIZ KHALIFA, ameweka wazi kuwa huwa anajiskia faraja sana na kuwa na uaminifu mkubwa pale ambapo anakuwa na mwanaume ambaye maarufu maana hahofii kuhusu suala la matumizi katika Nyumba yake. Tofauti na hilo,…

Read More

MCHUNGAJI afikishwa Mahakamani kwa Kumpiga Jirani yake, Kisa…. Ni MKE !!!

KATIKA eneo la NJIRU ambalo lipo katika Jiji la Nairobi Nchini Kenya, Mchungaji Peter Omondi Obama (42) amefikishwa mahakamani na Jirani yake kwa madai ya kumshushia kipigo kwa kitendo cha kumualika Mke wa Mchungaji huyo nyumbani kwake kwa ajili ya “kula Bata” Kwa mujibu wa mashtaka ambayo yamefunguliwa na Peter Otieno Maloa ambaye ndiye muathirika wa kipigo hicho, inadaiwa kuwa yeye alimualika Mke wa Mchungaji Obama katika nyumba yake ambayo ni jarani na Mtumishi huyo wa Mungu kwa ajili ya Chakula cha jioni, lakini baada ya muda, Mchungaji Obama alifika kwa…

Read More

Meneja wa jembe Fm Mr Fredy Kikoti ametangaza rasmi jembe Fm kuwasha mitambo ktk mikoa ya kanda ya ziwa.

Meneja wa jembe Fm Mr Fred Kikoti ametangaza rasmi jembe Fm kuwasha mitambo ktk mikoa ya kanda ya ziwa. Ameeleza pia kuhusu Jembeka Festival. “swala la #Jembekafestival kila kitu kipo tayari ,kulikuwa na changamoto ya sound na steji lakini sasa tunavyo hivyo tutawatangazia tarehe husika” Akaongeza kwa kusema “watu wamekuwa wanaomba @jembefm tufanye #Jembekafestival na Jembeka campus jam sasa ,,hivyo natangaza rasmi tunaanza na Jembeka campus jam kisha Jembeka festival” Lakini pia Amefungua rasmi tamasha la Jembeka Campus Jam, litakaloshirikisjha wanafunzi wa vyuo vyote vilivyopo jijini Mwanza. “Jembeka Campus jam…

Read More

Jembe Habari Ya Saa Kumi leo

Muhtasari Jembe Habari SAA KUMI LEO 14.09.2018 IJUMAA Waziri Mkuu Kasim Majaliwa amesema Rais John Magufuri katika kipindi chake cha Miaka Mitatu ya uongozi amefanikiwa kuimarisha Nidhamu,uadilifu uwajibikaji ndani ya utumishi wa Umma   Bondia mtanzania Hassan Mwakinyo aliyeibuka na ushindi ndondi baada ya kumchapa mpinzani wake raia wa Uingereza Sam Eggington, amepata mwaliko rasmi katika Bunge la Tanzania, hii leo   Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Nchini (TAKUKURU) imewataka aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili Klabu ya Simba, Zacharia Hans Pope na Frankline Lauwo kujisalimisha katika ofisi…

Read More