Facebook Comments
Read MoreCategory: Magazeti
magazeti ya leo
Shaw ajipiga kitanzi Old Trafford cha miaka mitano.
Beki wa kushoto wa Manchester United Luke Shaw amejitia kitanzi Old Trafford Baada ya kusaini mkataba mpya kwenye Klabu hiyo ambapo atakuwa anapokea kitita cha £ 190000 Sawa na $250000 Manchester United wamekubaliana kuafikiana na mchezaji huyo Katika mkataba wake mpya ambao unamfanya kuwa mmoja wa mabeki wanaolipwa vizuri nchini England. Baada ya taarifa hiyo kutolewa Shaw ameapa kupigana kufa na kupona kuonyesha kile ambacho mashabiki wanahitaji Katika miaka ijayo. “Mi Bado mdogo kuna vitu vingi vya kujifunza siwezi kungoja kuendeleza kipaji changu chini ya Jose Mourinho” Facebook Comments
Facebook Comments
Magazeti Oktoba 2 2018
Good morning Karibu upitie kurasa za magazeti ya Leo Oktoba 2 2018 Kurasa za mbele na nyuma. Facebook Comments
Facebook Comments
Magazeti: October 1 2018
Ni October 1 2018 Karibu Katika Kurasa za Magazeti ya Leo. Facebook Comments
Facebook Comments
Magazeti ya Leo Sept 29 2018.
Magazeti: Sept 28 2018
Magazeti Sept 27 2018.
Kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Leo September 27 2018. Facebook Comments
Facebook Comments
Magazeti
Ni Asubuhi ya tarehe 26 September 2018 Karibu upitie kurasa za mbele na nyuma za Magazeti ya leo. Facebook Comments
Facebook Comments
Kurasa za Magazeti ya Leo Sept 25 2018.
Habari za asubuhi karibu upitie kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Leo September 25 2018. Facebook Comments
Facebook Comments
Magazeti ya Leo Sept 24 2018.
Good Morning karibu uyatazame Magazeti ya Leo Jumatatu September 24 2018. Facebook Comments
Facebook Comments