#KumekuchaMitandaoni: Hivi Ndivyo Ilivyo Mitandaoni Baada ya Rais Magufuli Kuruhusu Michezo Kurejea !

KATIKA Furaha ambayo wanayo watanzania Wengi hasa wadau wa Michezo na Mashabiki, ni baada ya siku ya Leo ambapo Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Pombe Joseph Magufuli kuagiza Mamlaka Husika na Masuala ya Michezo kuarejesha Ligi mbali mbali za Michezo sambamba na michezo Mingine kuanzia Juni 1. Kauli hiyo imetolewa Mapema Leo wakati rais magufuli alipokuwa akiapisha Viongozi Walioteliwa, Katika Ikulu ya Chamwino, Jijini Dodoma, sambamba na kuruhusu Vyuo vikuu na Kidato cha Sita kurejea katika Masomo yao. Sasa, kunako Mitandao mbali mbali ya Kijamii, Wadau…

Read More

KOCHA WA ZAMANI WA TOTTENHAM ATAMANI KURUDI KLABUNI HAPO.

Meneja wa zamani wa timu ya soka ya Tottenham ya nchini Uingereza Mauricio Pochettino amesema kuwa ana imani siku moja atarejea kwenye klabu yake hiyo ya zamani ambayo aliachana nayo mwezi November 2019. Kocha huyo raia wa Argentina imeripotiwa kuwa ni miongoni mwa makocha waliowahi kufanya vizuri katika klabu hiyo hasa ikizingatiwa kuwa mwaka jana alifanikiwa kuifikisha katika fainali ya Ligi ya Mabingwa barani ulaya ambapo alipoteza kombe hilo dhidi ya Liver pool. Kwa sasa kocha huyo anatajwa kuwa katika malengo ya wamiliki wapya wa timu ya New Castle wanaotajwa…

Read More

SOLSKJAER AJA NA MFUMO HUU WA KIBABU FERG KUWANYOOSHA WAPINZANI WAKE.

Kocha wa muda wa Manchester United Ole Gunnar Solskjaer ameweka wazi kwamba ameshachukua ushauri toka kwa Sir Alex Ferguson tangu amechukua kibarua cha kuifundisha United kama kocha wa muda. Solskjaer ambaye ni mshambuliaji wa zamani wa Manchester United alishawahi pewa nafasi na Ferguson katika benchi la ufundi 2007 wakati anastaafu soka. “alinishawishi kwa kila kitu” maneno ya Solskjaer katika mkutano wake wa kwanza na Wanahabari akielekea kuumana na Cardiff siku ya Jumamosi. Solskjaer anajipanga kutumia kipindi chote cha maisha yake aliyojfunza mfumo wa Ferguson kukumbusha tena kikosi kucheza “bila ya…

Read More

UKWELI KUHUSU OZIL KUKAA BENCHI ARSENAL IKIPIGWA GOLI 2-0 NA TOTTENHAM HUU HAPA.

Kocha wa klabu ya washika mitutu wa London Arsenal Unai Emery ametoa sababu za kuto mjumuisha kikosini Mesut Ozil kwenye mechi ya jumatano usiku wakicheza na Tottenham kwamba ni swala la kiufundi lakini akakataa kujibia swala la mustakabali wa Nyota huyo katika klabu hiyo. Ozil hakuwa hata kwenye bechi kwenye mchezo huo wa robo fainali ya Carabao Cup ambao Arsenal alipigwa goli 2-0 na Tottenham huku Emery akijitetea kwamba alijua atapata matokeo mazuri kwa kikosi alichokiweka chenye vijana kama Joe Willock na Eddie Nketiah. “Yalikuwa ni maamuzi ya kiufundi” Unai…

Read More

UJUMBE WA GUARDIOLA BAADA YA MOURIHNO KUTIMULIWA UNITED.

Kocha wa Manchester City Pep Guardiola ameonesha kuwa kitu kimoja na Jose Mourihno baada ya kocha huyo mreno kufungashiwa virago na klabu ya Manchester United. Makocha hao wawili walikuwa wapinzani wakutisha kipindi wanaviwakilisha vilabu vya kutoka Spain Barcelona na Real Madrid kwa takribani miaka mitatu, na dhana hiyo watu wakajua itakuwa pale England baada ya Mourihno kuchaguliwa kuwa kocha wa Manchester United muda mfupi tu baada ya Guardiola kujiunga na City mwaka 2016. Lakini Makocha hao wapinzani wakaangukia katika Urafiki kipindi cha utendaji kazi wao kwenye Premier League na Guardiola…

Read More

TAARIFA YA UNITED BAADA YA KUTIMULIWA KWA MOURIHNO HII HAPA.

Rasmi kocha wa Manchester United Jose Mourihno ameachana na klabu baada ya kuitumikia karibia misimu mitatu. Jose Mourihno ameachana na Manchester United baada ya kufanya nao kazi kwa miaka miwili na nusu na hiyo ni kwa mujibu wa taarifa toka kwenye klabu iliyotoka Jumanne. United wametoa taarifa hiyo fupi kwa vyombo vya habari baada ya takribani miaka 48 toka wachezee kichapo cha goli 3-1 toka kwa Liverpool siku ya Jumapili. Mourihno sasa anaiacha United ikiwa nafasi ya 6 ikizidiwa alama 19 na kinara wa ligi wakiwa wameshacheza michezo 17. Taarifa…

Read More

BAADA KUSHINDA MICHUANO YA COSAFA VIJANA SERENGETI BOYS SASA KUWANYOOSHA KULE UTURUKI.

Timu ya Taifa ya Vijana ya Tanzania U17 “Serengeti Boys” itashirki kwenye mashindano maalumu ya maandalizi ya Afcon U17 yatakayofanyika Antalya nchini Uturuki mwezi Februari 2019. Mashindano hayo yaliyoandaliwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika CAF kwa ushirikiano na Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Ulaya UEFA yataanza Februari 22,2019 mpaka Machi 2,2019 na kushirikisha jumla ya timu 12 kutoka Afrika na Ulaya. Mbali na Serengeti Boys nchi nyingine za Afrika zitakazoshiriki katika mashindano hayo ni pamoja na Angola,Morocco,Cameroon,Uganda,Nigeria, Senegal na Guinea ambazo zitaungana na timu 4 kutoka Bara…

Read More

UNITED RASMI MIKONONI MWA PILATO NEYMAR JR.

Hafla ya upangaji wa draw ya michuano ya Uefa champions League hatua ya 16 imepangwa rasmi mchana wa leo pale mjini Nyoni nchini Switzland.  Katika Hafla hiyo ni kwamba kocha aliyeko kingaangoni hivi sasa Jose Mourihno amepangwa kukutana na mabingwa wa soka pale Ufaransa Psg. Mabingwa watetezi Real Madrid amepangwa kukwaana na vijana machachari kwa sasa Ajax toka pale Uholanzi Madrid wakiwa katika harakati za kutetea ubingwa wao. RATIBA KAMILI HATUA YA 16 BORA MICHUANO YA UEFA CHAMPIONS LEAGUE. 

Read More

EDEN HAZARD AWEKA WAZI MSIMAMO WAKE PALE DARAJANI KWA SASA ITABIDI WAMUELEWE TU.

Nyota wa klabu ya Chelsea Eden Hazard amesisitiza kwamba kwa sasa analenga zaidi kuipatia klabu yake ushindi kuliko kufikia mafanikio binafsi. Mbeligiji huyo alimtengenezea Pedro goli kabla ya kufunga mwenyewe wakati Chelsea wakiicharaza Brighton 2-1 katika dimba la Amex siku ya Jumapili kwenye ligi kuu ya soka nchini England. Hazard kwa sasa amehusika katika magoli 17 ya ligi kwa kufunga na kutengeneza katika mechi 16 za ligi kuu msimu huu tofauti na alivyofanya msimu uliopita. Nyota huyo mwenye umri wa miaka 27 kwa sasa ana magoli 98 katika klabu ya…

Read More