Home

WMO Wathibitisha Kuwa Viwango vya Joto Vinapanda

Shirika la Umoja wa Mataifa la Hali ya Hewa duniani, WMO limesema ongezeko la viwango vya joto ni ishara ya...
Read More
WMO Wathibitisha Kuwa Viwango vya Joto Vinapanda

YOGO BEATS : “UKINILIPA VIZURI, NITAFANYA KAZI YAKO” (AUDIO)

SINA hakika kama kuna mtu ambaye atakidhi kiu yako kiufasaha zaidi hasa katika Nyanja ya Kazi, kama utampa malipo ambayo...
Read More
YOGO BEATS : “UKINILIPA VIZURI, NITAFANYA KAZI YAKO” (AUDIO)

KUNGUNI WAFUNGA MAHAKAMA !

MAHAKAMA ya jimbo la ROGERS, Oklahoma Nchini Marekani, imelazimika kusitisha Shughuli za Kimahakama baada ya kubainika kwa Kunguni ndani ya...
Read More
KUNGUNI WAFUNGA MAHAKAMA !

RAIS WA SUDAN : ” MILANGO IKO WAZI KWA WAANDAMANAJI KUFANYA MAZUNGUMZO”

Rais Omar al-Bashir wa Sudan amesema mlango wa mazungumzo utaendelea kuwa wazi kwa waandamanaji vijana ambao wanaingia mitaani kuandamana kwa...
Read More
RAIS WA SUDAN : ” MILANGO IKO WAZI KWA WAANDAMANAJI KUFANYA MAZUNGUMZO”

MAGAZETI YA LEO TAREHE 30/1/2019

Read More

JAJI MARAGA akutana na “Kaa La Moto” baada ya Kutoa Salamu za Pole kuptia Twitter !

Baadhi wa Wakenya wamemkemea vikali Jaji Mkuu (CJ) David Maraga kuhusiana na kuachiliwa huru kwa washukiwa wa ugaidi wanaoshukiwa kuhusika...
Read More
JAJI MARAGA akutana na “Kaa La Moto” baada ya Kutoa Salamu za Pole kuptia Twitter !

MAANDAMANO yaibuka Nchini TUNISIA

Muungano mkubwa zaidi wa wafanyakazi nchini Tunisia UGTT umesema mgomo wa nchi nzima wa watumishi wa umma Zaidi ya LAKI...
Read More
MAANDAMANO yaibuka Nchini TUNISIA

NAY TRUE BOY amefafanua Kuhusu Kumwagia watu MAJI kwenye Show Zao !!

KUMEKUWA na maswali mengi tu ya Chini chini ambayo yameambatana majibu ya kuhisi kutoka kwa baadhi ya wadau na mashabiki...
Read More
NAY TRUE BOY amefafanua Kuhusu Kumwagia watu MAJI kwenye Show Zao !!

Hii Ndiyo Sababu Ya AMBER ROSE kuwa na Mahusiano na Wanaume MAARUFU.

KAMA utakuwa umefuatilia Mtiririko wa Mahusiano ambayo AMBER ROSE amekuwa nayo hasa kwa wanaume tofauti tofauti, Wengi wao ni Watu...
Read More
Hii Ndiyo Sababu Ya AMBER ROSE kuwa na Mahusiano na Wanaume MAARUFU.

MARUFUKU kuvaa Mavazi Yenye Rangi NYEKUNDU Uganda

WATU watakaobainika kuwa wamevaa Nguo Nyekundu, Kofia Nyekundu na Kitambaa chekundu Katika wilaya ya LAMWO nchini Uganda, watakiona "cha Mtema...
Read More
MARUFUKU kuvaa Mavazi Yenye Rangi NYEKUNDU Uganda

[sc name=”Dondosha”]

TOP STORIES


 

Michezo Top Stories

BEKI HILI KUTOKA IVORY COAST LATUA RASMI MSIMBAZI.

Klabu ya wekundu wa msimbazi Simba wamethitisha kunasa saini beki wa kushoto kutoka Ivory Coast ajulikanaye kama Zana Coulbaly.  ...
Read More
Michezo Top Stories

Hatimaye aliyeshambulia basi la Dortmund kwa bomu mwaka 2017 auhukumiwa miaka 14 Jela.

Hatimaye mtu aliyefanya shambulizi la bomu kwenye basi la kusafiria la Klabu ya Borrusia Dortmund mwaka 2017 amehukumiwa Jela kwa...
Read More
Michezo Top Stories

Majeruhi yaiandama City Kocha achagua jembe lake kuimaliza Lyon Leo.

Usiku wa Ulaya, michuano ya Klabu bingwa barani Ulaya imerejea na ipo katika hatua ya makundi leo jumanne na kesho...
Read More
Michezo Top Stories

Baada ya kuandamwa na Maneno dogo afikia maamuzi haya, huwezi amini.

Ousmane Dembele ameiomba Klabu Barcelona imruhusu aondeke katika dirisha la usajili Mwezi January taarifa hii inachangiza uvumi kutoka vyanzo mbalimbali...
Read More
Michezo Top Stories

Hazard awakatalia mchana kweupe matajiri wa Jiji la Paris wasijisumbue kumtafuta.

Nyota wa klabu ya Chelsea Eden Hazard hakubaliani na mipango ya kuhamia Paris Saint-Germain lakini amekumbushia kwa inawezekana kuhama darajani....
Read More
Matukio Top Stories

AMUUA MKEWE KWA PANGA,NI BAADA YA KUMFUMANIA NA MWANAUME MWINGINE CHUMBANI KWAKE

  Mwanaume mmoja Paul Maritim ameripotiwa kumuua mkewe kwa kumchinja shingoni kwa panga baada ya kumkuta akifanya mapenzi na mwanaume...
Read More
Michezo Top Stories

Mane akubali maisha ya kubaki Anfield mpaka 2023

Sadio Mane amekubaliana na klabu yake ya Liverpool kuhusu kupewa mkataba mpya wa muda mrefu katika klabu hiyo, mkataba ambao...
Read More
Michezo Top Stories

Zabaleta amkaribisha kwa Mikono miwili Nasri wawe pamoja tena kwa wagonga nyundo.

Kumpata nyota wa zamani wa Arsenal na Manchester City, Samir Nasri kutasaidia kuongezeza kuongeza nguvu kwenye kikosi cha wagonga nyundo...
Read More
Events

AUA MWANAYE KWA MPINI WA JEMBE AKIMTUHUMU KUIBA KUKU.

  Polisi mkoani Manyara wanamshikilia mwanamke mmoja Mariam Daudi kwa tuhuma za kumuua mwanaye kwa madai ya kuiba njiwa wa...
Read More
Top Stories

ASKARI POLISI AUA KWA KISU AKILINDA MCHEPUKO WAKE

  Bwana mmoja askari wa polisi amejikuta matatani baada ya kuripotiwa kumuua mtu mmoja kwa kumchoma kisu kutokana na wivu...
Read More
Michezo Top Stories

Hata kama kuna Lacazette na Aubameyang, Welbeck awaingiza Arsenal sokoni.

Mkuu wa Kitengo cha Soka ndani ya klabu ya Arsenal Raul Sanllehi amekiri kwamba jeraha kubwa la Danny Welbeck huenda...
Read More
Matukio Top Stories

AUWA MTOTO KWA KUMTUPA CHOONI NA KUTOKOMEA

Mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka arobaini anasakwa na polisi kwa kosa la kumtupa mtoto wake chooni. Inadaiwa mwanamke huyo...
Read More
Michezo Top Stories

Uzembe utamponza bwana mdogo Dembele kushindwa kutakata Catalonia.

Nyota kutoka Uruguay, Luis Suarez amemuonya mchezaji mwenza Ousmane Dembele Kwamba kama anataka kufanikiwa katika Klabu ya Barcelona basi ajifunze...
Read More
Matukio Top Stories

ABAKWA NA WANAUME WAWILI NJIANI AKIELEKEA KUJIFUNGUA

  Mwanamke mmoja mjamzito ameripotiwa kubakwa na wanaume wawili mbele ya watoto wake akiwa njian kwenda hospitali kujifungua. Mjamzito huyo...
Read More
Matukio Top Stories

APONZWA NA KITABU CHA NGONO ,SASA KUTUMIKIA KIFUNGO CHA MIAKA KUMI GEREZANI

Mwandishi mmoja wa vitabu nchini Uchina amefungwa miaka 10 jela kwa kuandika na kuuza kitabu chenye maudhui ya ngono ya...
Read More
Siasa Top Stories

Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amekiri kuwa alidanganya wabunge

Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amekiri kuwa alidanganya wabunge waliokuwa wanachunguza ufisadi serikalini aliposema kuwa dola $35,000 zilizotumwa kwa...
Read More
Top Stories

MBARONI KWA KULEWESHA WANAUME NA KUWAIBIA

  Polisi nchini Kenya wamefanikiwa kuwatia nguvuni wanawake wawili wauza milii kwa kosa la kuwachaganyia dawa za kulevya wateja wao...
Read More
Matukio Top Stories

WAHUBIRI WATWANGANA MAKONDE WAKIGOMBEA SADAKA KWENYE BASI

  Abiria katika gari moja la usafiri wa uma (daladala) walibaki vinywa wazi baada ya wahubiri wawili kutwangana makonde kila...
Read More
Michezo Top Stories

Neymar wewe na Ramosi kwani mna ugomvi?.

Taarifa zinasema kuwa mshambuliaji wa kimataifa wa Brazili na Klabu ya PSG ya pale Ufaransa Neymar Jr anahitaji beki wa...
Read More
Michezo Top Stories

Baada ya Kipigo pale Maseru Amunike ajishusha.

Kocha wa Stars Mnigeria Emmanuel Amunike amewaomba radhi Watanzania kwa matokeo ya kipigo cha timu ya Taifa Stars cha bao...
Read More
1 2 3 4 5 19

 


 

 

 

 

 

Download Jembe FM App:

 

Facebook Comments