SWIZZ BEATZ: “Wasanii wa Sasa Wa Hip Hop wanatakiwa Kulipa Kodi kwa Waliofungua Njia”

Muandaaji wa Muziki wa Hip Hop Nchini Marekani, Kasseem Dean “Swizz Beatz” anaamini huu ni muda muafaka kwa Wasanii mbali mbali wa Hip Hop Nchini Marekani na hata ulimwenguni kote, kuanza kurudisha Matunda na fadhila kwa Wakongwe wa Muziki huo ambao wameufikisha Hapa Ulipo hivi sasa Swizz ambaye pia no mmoja kati ya Rappers wenye balaa kubwa kila wanapoachia “mikwaju” yao, aliyasema hayo kupitia Instagram Live alipokuwa akizungumza na Mkongwe mwenzake kwenye soko la Hip Hop, Joe Budden. Hit Maker huyo wa “Money In The Bank” ameongeza kuwa huu ni…

Read More

KATY PERRY Baada ya Kuhisi “Kichanga Chake” kilichopo Tumboni kimemuonesha “Kidole Cha Kati Kati”… Adai amerithi Tabia Yake!!

SIKU Chache zilizopita, Msanii wa Pop Nchini Marekani, Katy Perry alituonesha video clip ya “Ultra Sound” ambayo ilikuwa ikionesha maendeleo ya kichanga chake kilichopo tumboni kama kinaonesha hali jongefu ma lah! Lakini kilichoonekana zaidi na kuvutia watu wengi zaidi hata Katy Perry mwenyewe, ni namna Kichanga hicho kilivyoonesha ishara kwa njia ya vidole, huku Mama yake (Katty Perry) akichombeza kwa kudai kuwa Kichanga kile kimeonesha ishara ya “Kidole Cha Kati Kati” ambacho mara nyingi hutafsiriwa kama “Lugha Korofi” ama Tusi” ambalo mara nyingi hutumiwa na vijana wa mitaani hasa Ughaibuni.…

Read More